Mkurugenzi wa masoko TBC hana wajihi wa nafasi ya kazi aliyonayo

Carnivora

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
3,651
5,987
Wakuu habari

Nna imani sote ni wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.

Ninaangalia TBC, televisheni ya Taifa, hapa wakiwa live katika "uzinduzi wa maonesho ya live ya Kombe la Dunia" kama ntakua nimekosea hicho kipindi niko radhi kusahihishwa.

Amesimama Mkurugenzi wa Masoko wa TBC, mama fulani hivi, kuzungumza. Nimeona tatizo. Simsemi vibaya na wala sina chuki naye kwa maana simjui hata kidogo. Wajihi wa yule mama haujakaa kwa position anayoiserve. Hajakaa ki MARKETING na wala haonekani kama ana dalili za marketing. Kwa uzungumzaji ule mbele ya kadamnasi inaonesha mama haitendei haki nafasi yake. Ama sijui tuseme nafasi imekaliwa na mtu asiye sahihi? Mi sijui.

Lile tatizo la kupotea kwa TBC pengine linasababishwa na matatizo ya wakuu wa vitengo hawa. Kiintelijensia zangu kitengo cha marketing TBC kina tatizo.

Wenye mamlaka yenu chukueni hatua. Nimetoa maoni tu. Mkitoa povu ruksa.

Watu wa marketing tunawajua haiba zao. Si kwa haiba ile.
Am off.
 
Kuna watu sii wasemaji , ni watendaji haswaa
Haswa wa mashirika makubwa kama haya ambayo sii watendaji wa moja kwa moja , wanaowapangia wengine kazi
 
Sawa, yeye si mtendaji. Lakini kimsingi yeye ni mtendaji.....sasa anapanga nini mbona TBC haina amsha amsha. Anyway....ni maoni yang lakini.
 
Chakula cha wazee hicho!
Mashirika mengi ya umma nafasi wamepewa watu wasio na sifa!!
Ndio maana tupo hapa tulipo kama taifa!
 
TBC hivi imeshindwa kweli kushawishi hata watu waikubali? Moja ya sifa ya Mwanahabari au Chombo cha habari ni kuwa na uwezo wa Kushawishi kama hili halipo TBC basi shida ipo.
 
Chakula cha wazee hicho!
Mashirika mengi ya umma nafasi wamepewa watu wasio na sifa!!
Ndio maana tupo hapa tulipo kama taifa!
Sijamuona. Kwani ni mzuri kiasi cha "kukohoa"!? Maana chakula cha wakubwa lazima kiwe kitamu haswaa
 
Wakuu habari

Nna imani sote ni wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.

Ninaangalia TBC, televisheni ya Taifa, hapa wakiwa live katika "uzinduzi wa maonesho ya live ya Kombe la Dunia" kama ntakua nimekosea hicho kipindi niko radhi kusahihishwa.

Amesimama Mkurugenzi wa Masoko wa TBC, mama fulani hivi, kuzungumza. Nimeona tatizo. Simsemi vibaya na wala sina chuki naye kwa maana simjui hata kidogo. Wajihi wa yule mama haujakaa kwa position anayoiserve. Hajakaa ki MARKETING na wala haonekani kama ana dalili za marketing. Kwa uzungumzaji ule mbele ya kadamnasi inaonesha mama haitendei haki nafasi yake. Ama sijui tuseme nafasi imekaliwa na mtu asiye sahihi? Mi sijui.

Lile tatizo la kupotea kwa TBC pengine linasababishwa na matatizo ya wakuu wa vitengo hawa. Kiintelijensia zangu kitengo cha marketing TBC kina tatizo.

Wenye mamlaka yenu chukueni hatua. Nimetoa maoni tu. Mkitoa povu ruksa.

Watu wa marketing tunawajua haiba zao. Si kwa haiba ile.
Am off.

ULITAKA AWE NA WAJIHI GANI ?
 
Mimi nilivyomuona tu akiongea kiswahili kama vile mzungu anayejifunza kiswahili nilienda kny grosari nikapiga kili tatu baridi kisha nikarudi nikakuta ashamaliza yaliyomhusu nikaendelea kuangalia tena.
 
Back
Top Bottom