Ukwaju,
Mkuu tofautisha:
- High heart rate Moyo kwenda mbio) na High blood pressure (Shinikizo la damu).
- High heart rate ni kama moyo unadunda zaidi ya mara 100 kwa dakika moja mtu akiwa ametulia (Japo akiwa anafanya kazi au mazoezi ni kawaida kuzidi 100)
- High blood pressure (Shinikizo la...
Hazifanani,
Gormahia wameingia robo Confederation Kenya wakapewa point 2 wakati Simba imeingia robo Champions league Tanzania tukapewa point 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini wasiwepo wenye uwezo mkuu?
Hiyo ndege ilikuwa inatoka Addis kwenda Nairobi, tafuta Ethiopian airline iliyotoka Addis kuja Dar es Salaam au Kilimanjaro uone kama haina watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiambiwa ulipie kila app unayotumia including Jf ili hayo matangazo yasiwepo utakubali?
Kadri Tangazo linavyojitokeza mara nyingi ndivyo wenye tangazo nao wamewalipa google hela nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakikisha una
1. Kitambulisho cha taifa
2. Cheti cha kuzaliwa
3. Affirdavit ya mzazi mmoja
4. Barua ya mwaliko au uthibitisho wowote wa safari
5. Application form ambayo utakuwa umeapply online(utalipia 20,000)
6. Barua ya mtendaji wa kijiji/kata kama sio mwajiriwa.
7. Uthibitisho wa shughuli...
Mkuu mawasiliano ya Whatsapp ni end to end encrypted sidhani kama hapa Tanzania wanaweza wakayadukua.
Hao waliokamatwa ni kwamba walitukana kwenye magroup sasa mmoja wa member mwenzao wa group akscreenshot au hata kama alichati na mtu private basi huyo mtu alipeleka ushahidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.