Tangazo gani la biashara redioni au kwenye runinga uliwahi kulipenda sana?

Wasalaam

Muziki au matangazo ya kibiashara ni vitu vinaweza kutukumbusha hazina ya muda na mambo mazuri tuliwahi kuwa nayo zamani

Binafsi siwezi kulisahau tangazo la dawa ya kuzibia pancha baiskeli..."Vipi Rambooo???...pancha banaa...pancha wakati kuna okoo..."...hapo niko pembeni ya mshua nafanya zoezi la hisabati tena vile vya maswali 40...

Wewe unakumbuka tangazo gani...na linakukumbusha ..."moment" gani nzurii

Cha asubuhi toka tigo
 
Naskiaaaaa rahaa,
Moyo wangu unaukonga hasa tukiwa wawiliiii.....
nnampenda sikatai ni weweeeeeee😝
Na hili jotoo Dar tupate ya Baridi Coca tupozeshe na miili...
Tuzidi furahi mileleeeee😝
 
1. FOMA GOLD,
HADIJA KOPA & NASMA KHAMIS

2. AHA Dawa ya meno
LADY JAY DEE

3. HALOTEL CHIPS BANDO

4. TIGO, DUM DUM DUM

5. TCRA SAJILI NAMBA YAKO
MPOTO & BANANA ZORRO
 
tangazo la lotion ya amanda mwaka wa 1998 kipnd hcho redio one ilikuwa inatangaza yaan ilikuwa pw sana,alafu kuna tangazo moja hv la chombeza tme redio one saa 4 usiku ule mlio wa chombeza tme nimeumiss kweli mwenye ule mlio naomba anitumie tafazalin jja
tangazo la lotion ya amanda mwaka wa 1998 kipnd hcho redio one ilikuwa inatangaza yaan ilikuwa pw sana,alafu kuna tangazo moja hv la chombeza tme redio one saa 4 usiku ule mlio wa chombeza tme nimeumiss kweli mwenye ule mlio naomba anitumie tafazalin jaman
Kenny G - Forever In Love
 

Attachments

  • Kenny G - Forever In Love.mp3
    11.3 MB
Back
Top Bottom