Nimekunywa Mo Extra moyo unapiga sana

Nimekunywa Mo Extra moyo unapiga sana

Muwe mnaangalia na BB kwenye hivyo vinywaji vingine ni expired ila vipo sokoni!
 
Ukwaju, Mkuu wewe wa kusema high blood pressure ni mapigo ya moyo kwenda kasi kweli? Huyo jamaa mapigo ya moyo yanamuenda kasi kwakuwa kanywa energy drink halafu karelax so anaulazimisha mwili kuwa na energy ya kuperform hardest activities while akiwa karelax thus why mapigo ya moyo yanaenda mbio. Energy drink ukiinywa unatakiwa mwili uufanyishe mazoezi lakini yeye akarelax thus why hali hiyo imemtokea na sio shambulio la moyo kama mnavyotaka kuaminisha..
 
We unataka umuue kabisa
Kilichotokea hapo amekunywa energy drink halafu amerelax na wakati mwili unahitaji afanye activity ili kuendana na kasi ya mapigo ya moyo. Unajua kwanini energy drinks zimeandikwa usinywe muda mfupi kabla ya kulala? Na zipo recommended kwa wanamichezo tu..
 
TADPOLE,
Kuna aina 17 ya shambulio la Moyo na nimekuwekea link na maelezo kuwa hicho kinywaji kina caffaine iliyosababisha hypertension soma post no 26 ya kwanza kabisa ni MO energy.

What causes high blood pressure?
Blood pressure is the measure of the force of blood pushing against blood vessel walls. The heart pumps blood into blood vessels, which carry the blood throughout the body. High blood pressure, also called hypertension, is dangerous because it makes the heart work harder to pump blood out to the body and contributes to hardening of the arteries, or atherosclerosis, to stroke, kidney disease, and to heart failure.

Halafu jamaa yangu, kwanini usiyaangalie hayo makopo yameonya kabisa kuwa ni hatari kwa mnywaji na wao hawahusiki wewe unasema kanywa halafu karelax nimeamini nabishana na mganga wa mitishamba, leta evidence za kitabibu kama sio.
Do energy drinks raise blood pressure?
A study published Wednesday found that caffeinated energy drinks change the heart's electrical activity and raise blood pressure, potentially creating unintended adverse health effects on people who consume them.May 29, 2019
 
Hii inaitwa heart palpitations, haina shida ila kwakuwa umepata kwa kunywa energy inamaanisha mwili wako hauwezi kumudu energy.
 
Savimbi Jr,
Inaua na wameshatahadharisha Mkuu, kama watatumia vibaya kwa kuzidisha sasa mleta mada keshatapika wanamwambia akimbiekimbie

Can energy drinks kill you?
The main pupose of all the energy drinks is to give you an instant boost or energy. The main source of this energy is caffeine. If you misuse any energy drinks including monster energy drink, it can surely kill you by damaging your kidneys. You can also have a heart attack for overdosing energy drinks.Jul 18, 2017

Nutrition Facts
AMP Energy DrinkFull Throttle Energy DrinkMonster EnergyRed BullRockstar Energy DrinkVaultVault Zero Sugar-Free Energy DrinkAMP Energy Drink

Amount Per 100 grams1 serving (240 g)100 grams
Calories 46
% Daily Value*
Total Fat 0.1 g0%
Saturated fat 0 g0%
Polyunsaturated fat 0 g
Monounsaturated fat 0 g
Cholesterol 0 mg0%
Sodium 27 mg1%
Potassium 3 mg0%
Total Carbohydrate 12 g4%
Dietary fiber 0 g0%
Sugar 12 g
Protein 0.3 g0%
Caffeine 31 mg
Vitamin A0%Vitamin C0%
Calcium1%Iron0%
Vitamin D0%Vitamin B-610%
Cobalamin10%Magnesium0%
 
Ukiwa sio mtu wa mazoezi achana kabisa na hivyo vinywaji(drinks energy) utakufa kabla ya siku zako. Mo au Bakhresa au sijui nani mgunduzi wa hicho kinywaji alitengeneza kwa ajili ya wanajeshi waliokuwa vitani baada ya kutembea kwa mwendo mrefu au kufanya kazi ngumu walikuwa wanachoka hivyo kupewa energy drink ili kuwaongezea nguvu waendelee na kazi au safari.

Sasa ndugu wewe unakunywa hicho kinywaji mazoezi hufanyi, kazi ngumu hufanyi, unategemea nini? Nguvu za asili na za hivyo vinywaji vitakapokutana bila shaka mgongano utakaotokea utakaotokea utasababisha moto kuwaka. Please usinywe tena hicho kinywaji kama hufanyi mazoez ya kutosha. October man
 
Ukwaju,
Mkuu tofautisha:
- High heart rate Moyo kwenda mbio) na High blood pressure (Shinikizo la damu).
- High heart rate ni kama moyo unadunda zaidi ya mara 100 kwa dakika moja mtu akiwa ametulia (Japo akiwa anafanya kazi au mazoezi ni kawaida kuzidi 100)
- High blood pressure (Shinikizo la damu) ni pressure ambayo damu inakuwa nayo inavyozunguka mwilini, mtu anakuwa na high blood pressure endapo blood pressure yake ni zaidi ya 120/80 mmHg.

Moyo unaweza ukawa unapiga mara nyingi kwa dakika (Moyo kwenda kasi) lakini kwa pressure ya kawaida na pia moyo unaweza ukawa unapiga kawaida lakini kwa pressure kubwa.

Mara nyingi shinikizo la damu likiwa juu ni ugonjwa, lakini moyo ukienda mbio sio lazima iwe ni ugonjwa maana hata mtu akiwa anafanya mazoezi moyo lazima uende mbio.
 
Tangopori,

Nipe ingredients za hicho kinywaji mnachosifia maana mnadanganywa hamuelewi, ni nani kimemuongezea nguvu, akashinda Marathon au Boxing au yeyote sana sana ni BP tupu. Nimeelezea hata katika post zangu kuwa matokea ya kinywaji hicho yatakusababishia Pressure na kama una miaka 35 kuendelea unakunywa kinywaji hicho kina Caffeine 31mg ambayo ni kubwa kuliko ya Pepsi/Coca kahawa itakusababishia Hypertension.

Can energy drinks kill you?
The main pupose of all the energy drinks is to give you an instant boost or energy. The main source of this energy is caffeine. If you misuse any energy drinks including monster energy drink, it can surely kill you by damaging your kidneys. You can also have a heart attack for overdosing energy drinks

Soma post #43
 
Pole sana, mapigo ya moyo yamesababishwa na hiyo energy drink, nakushauri usifanye chochote sasa zaidi pumzika na unywe maji kidogo kidogo. Caffeine sio nzuri kwa mtu yoyote nakushauri achana na any energy drink yaani hata ukinywa nusu per day jua inaenda kuharibu figo na ini lako na moyo upo kwenye hatari ya kushambuliwa.
 
Amka hapo ulipo anza kufanya jogging hata kwa nusu saa mapigo ya moyo yatarudi normal
Wapo sahihi kukuelewesha, wataalam wanakataza kata kata kama mtu amekunywa Energy drink akakimbia. Hii elimu ni ndefu kidogo na sasa hivi sipo kwenye mood ya kuandika mabarua, information ipo kiganjani kwako jitafutie.
 
Achana kabisa na hiyo kitu, kwani ishaonekana si kitu kizuri kwako.
 
Mo Extra sio energy drink jamani ni soft drink kama soda tu inawezekana huyu mwenzetu ana matatizo na caffeine.

Kama kuna madaktari humu basi wamshauri nini cha kufanya kwa mtu ambae ana matatizo na kahawa lakini sio hayo mambo ya energy drinks.
 
oyieko,

Mkuu hili tatizo hata mimi nimeshapata kama mara 2 hivi, mwanzoni nilidhani ni matatizo yangu tu ila baada ya kufanya uchunguzi nikagundua kuwa tatizo ni Mo Extra.

Je kwa mtazamo wako unadhani hii inasababishwa na nini? Maana hiki kinywaji nakipenda sana ila imenibidi niache kutokana na tatizo hilo.
 
Delly Mandah,
Kabisa mkuu hivi vinywaji vinapendwa sana na wabeba zege, watu wa ujenzi wale saidia fundi ndio naona sana wanakunywa kwa sababu wanafanya kazi nzito.
 
Hayo madude ni hatari sana ndio maana yanauzwa bei poa. Energy drink za ukweli ni zile kuanzia 3000.
 
Nashukuru wakuu wote. Nimechukua ushauri wa kufanya mazoezi nikafanya mazoezi kama nusu saa nilivyomaliza haukupiga tena mpaka leo sasa hivi safi tu.

Sigusi tena hiki kinywaji sio kwa neno kifo lilivyotajwa mara nyingi humu, nitakirudia kinywaji changu Apple Punch.
 
Back
Top Bottom