Mkeo akikwambia jambo hili usimlazimishe kabisa

Mmh. Nakupunguzia likes za kwangu Mkuu. Haya sema anakuwa na jambo gani?

Najua mtasema pesa lakini saa nyingine waeza kuta ana mawazo ya mazuri na kujenga tu ila uso wako ulivyopokea hilo swali ukasababisha aghairi.
Mara nyingi kwenye jambo zuri lazima kue na sura ya furaha kwa mtu na utamjua ila kma itakua kinyume chake na mtu akishindwa kukwambia basi panakua na habar tofauti.
 
Mke : Hun kuna jambo muhimu sana nataka nikwambie .



Mume : Jambo gani tena mama watoto.

Mke : Au basi tuache tu


DONT PUSH HER TO TELL YOU. YOU KNOW THE REASON?


NITATOA MAJIBU ZIKIFIKA LIKE MIA NNE
Kwani we ushawah kumwambia hivyo mumeo, maana unaleta mada isiyo na manufaa
 
.
Screenshot_20180921-165047.jpg
 
Nilichojifunza mimi, mwanamke akisema anaomba muonane ukiwa free kuna jambo anataka muongee, hakikisha unafanya hivyo.

Atakuambia kitu cha kukuokoa wewe, au yupo njia panda na hajui afanye nini.
 
Kwahiyo mumeo ndo alikuuliza hivyo, research yako umeifanya kwa mashoga zako wangapi
Ur so much in touch with ur feminine side. Mwanamke akitaka kumprovoke mwanaume ndo huwa anamwambiaga maneno kama yako .Jitafakari
 
Back
Top Bottom