Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,276
- 6,585
Mimi kuna uzi niliusoma nikaelewa na nikahakikisha na kukubaliana na uzi huo.Kwangu ndio uzi bora zaidi tangu nilipojiunga JamiiForums
Uzi bora ulionifundisha na kufahamu nguvu ya kiroho ni huu ulioanzishwa na mchawi wa Msata Mshana Jr
Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho - JamiiForums