Kwanza napenda ijulikane kabla serikali haijaingiza vat kwenye utalii tayari mgeni/mtalii analipa vat kwa kuzunguka (indirect); kila mtalii anayekuja Tanzania analipa vat, analipaje? akilala kwenye hoteli zetu anakuwa ameshalipa vat, akipanda ndege ameshalipa vat, akipanda boat ya azam...
Awali ya yote nielezee aina ya watalii wanaokuja Tanzania, nchi yetu inapata au kupokea watalii aina nne:
1. Kuna watalii wa bajeti (budget), 2. Watalii wa Kati (mid class), 3.Watalii wa Juu (high class) na Watalii wa juu zaidi (High end).
Watalii wa bajeti na wakati ndo wengi ni kati ya 70% -...
KAMA WAZIRI HATAKI WATALII MASKINI (BUDGET) NI HATARI:
Awali ya yote nielezee aina ya watalii wanaokuja Tanzania, nchi yetu inapata/pokea watalii aina nne:
1. Kuna watalii wa bajeti (budget), 2. Watalii wa Kati (mid class), 3.Watalii wa Juu (high class) & Watalii wa juu zaidi (High end)...
Taarifa ya habari jana usiku saa 2 ilisema TBC watarusha tu matangazo bunge ya maswali na majibu asubuhi na yale mengine yatatafutiwa kipindi maalum. Huu utaratibu mpya ulipotangazwa bungeni na wazari mwenye dhamana UKAWA walikataa na kudai watahakikisha wananchi wanapata matangazo ya bunge...
Siyo St Patrick tu wanachaji karo ya juu, ziko shule nyingi za namna hiyo ndo maana nimeomba serikali itoe bei elekezi. watu wengine sijui vipi, wabinafsi kwelikweli eti kwasababu yeye ana uwezo basi hafikirii watanzania wengine ambao hawana uwezo. watu hao ni sawa na wale wanaoishi na maskini...
Shule ya St. Patrick Arusha imepandisha tena ada kwa mwaka 2016. Hata hivyo, ada ambayo ilikuwa inalipwa mwaka huu wa 2015 bado ilikuwa juu. Kila mwaka shule hii inapandisha ada za shule. Na cha ajabu watoto waliyomaliza darasa la saba mwaka huu walilipa ada temu tatu badala ya temu mbili...
Nina muomba na kumsihi Mh Magufuli afutiliye mbali mwenge kama si kuuweka jumba la makumbusho, huu mwenge unatumia hela nyingi sana za taifa kuzunguka nchi nzima
Sisi hatuna shida na katiba kwani walivyokuwa wanaingia kwenye uchaguzi si walikuwa wanaijua katiba na wanaijua tume ya uchaguzi? kwanini wasingepambana kipengele cha katiba kirekebishwe ili matokeo ya uraisi yahojiwe mahakamani na pia kwanini hawakupambana ipatikane tume huru ya uchaguzi kabla...
Siwezi kujiuliza hilo swali kwani mshindi alitangazwa tarehe 29 oktoba na baada ya kutangazwa mshindi raisi akaapishwa tarehe 05 Novemba, huo muda wote (siku 8) ukawa walikuwa wapi wasiseme kile walichokuwa wanadai?kwanini wasubiri hadi tar. 08 novemeba? Tunataka ukawa mtuambie Ukweli na...
Wakati tume ya uchaguzi ikiendelea kutangaza matokeo ya urais kupitia mgombea wenu mlisema kura zinazotangazwa na tume siyo sahihi, kuna uchakachuaji hivyo hamtakubaliana na kinachofanywa na tume, tume iliendelea na kazi yake na mwishoni ikatangaza mshindi.
Kuanzia mshindi wa uraisi atangazwe...
Slaa hata useme nini, sisi watanzania tumeshaamua. Mh. Lowassa angeingia UKAWA na wewe ndo ukachagulia kugombea urais ungeondoka na kumsema Mh. Lowassa kuwa ni fisadi? Haingii akilini mfumo uliokuwa unaukataa ndo sasa unaupigania kwa nguvu zako zote......kuna niniii?, watanzania tumeshaamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.