Zitto amebeba mikoba ya MREMA na CHEYO!
Aibu sana kwa kijana makamo yake![/QUOTE
njaa mbaya anavizia ka uenyekiti ka kamati
Nimekuwa nikijiuliza sanasana maswali mengi, hivi ni kwanini CCM hawampendi Mbowe? Na wamekuwa wakihangaika sana kutengeneza propaganda kila kukicha?
Leo nimepata walau kaufahamu kidogo baada ya tathmini ndogo naamini waungwana wataungana na mimi.
Nilichokijua kikubwa ambacho ni mwiba wa CCM ni misimamo ya Mbowe na ujasiri wake,
Pili ni nguvu ya ushawishi, kiukweli Mbowe ana nyota ya ushawishi kama hukubali Muulize Magufuli, ili mlazimu kutumia kauli mbiu ya mabadiliko ili walau apate kusikilizwa na raia
IQ ya Mbowe iko juu sana, anaona mambo ya msingi na kuyafanyia kazi kabla mtu wa kaiwaida hajaona. Angalia usajili wa Lowasa, umuhimu wa jambo lile utaonekana baadae.
Lakini kikubwa sana kinachowatoa jasho CCM ni uwezo wa Mh Mbowe kujenga hoja.....mwenye upeo ongeza mengine unayoyaona kw Mh Mbowe.
Hawana hata sababu za kumchukia mbowe utasikia eti mchaga mara anaua chadema as if they really care abt cdm!!! Na wakikutana nae huwa wanamchekeachekea tu ka mkwe wao!!! They are ol cowards kumface hawawez hata kidg!!! Nakumbuka kweny mita 200 mahakam ilitoa amri asibaki mtu ila mbowe alipingana na hyo kauli mpk tarehe 24...na alisema piga kura hesabu mita 200 subr matokeo!!! Cha ajabu ccm walimsikia na hakuna aliyefanya kitu!!!! Sijwah ckia mtu akimtukana mbowe kiujasir labda watumie mafumbo,,, Cjui ana nn yaan mpk wanamuogopa hvyo!!!! Atakua ni bwana yao!!!!! Maaana huwa wanajipendekeza balaa c muda utaona wanamuita wapige selfie
Nimekuwa nikijiuliza sanasana maswali mengi, hivi ni kwanini CCM hawampendi Mbowe? Na wamekuwa wakihangaika sana kutengeneza propaganda kila kukicha?
Leo nimepata walau kaufahamu kidogo baada ya tathmini ndogo naamini waungwana wataungana na mimi.
Nilichokijua kikubwa ambacho ni mwiba wa CCM ni misimamo ya Mbowe na ujasiri wake,
Pili ni nguvu ya ushawishi, kiukweli Mbowe ana nyota ya ushawishi kama hukubali Muulize Magufuli, ili mlazimu kutumia kauli mbiu ya mabadiliko ili walau apate kusikilizwa na raia
IQ ya Mbowe iko juu sana, anaona mambo ya msingi na kuyafanyia kazi kabla mtu wa kaiwaida hajaona. Angalia usajili wa Lowasa, umuhimu wa jambo lile utaonekana baadae.
Lakini kikubwa sana kinachowatoa jasho CCM ni uwezo wa Mh Mbowe kujenga hoja.....mwenye upeo ongeza mengine unayoyaona kw Mh Mbowe.
mbowe hatumpendi kwa sababu hajielewi! Demokrasia anayoihubiri haitimizi ndani ya chama chake na wanachadema mnajua ila mmeziba masikio na mnaogopa kwa sababu yoyote anayehoji anaitwa msaliti
Bila mbowe chadema isingeweza kusimama mpaka leo. Namkubali sana Mbowe fighter wa ukweli asiyenunulika
Kamanda Mbowe ni kichwa na ni mbunifu wa siasa, si kwamba ccm wanamchukia bali wanamuogopa sana.