Recent content by tanga2017

  1. T

    Mkwaju ni nini?

    Huwa nasikia watangazaji wa mpira wakisema Mkwaju wa penalti. Mkwaju ni nini? Na hivyo kuna mikwaju ya nini na nini. Karibuni wataalam wa Kiswahili. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

    Mpanda ndo Mambo yote, hujakosea, nenda ni pazuri sana kibiashara na patakuwa pazuri zaidi kwa sababu Sasa Kuna usafiri wa ndege na barabara ya Mpanda Tabora inajengwa kwa kiwango Cha lami na mpaka mwaka huu mwishoni inaweza ikawa imekamilika, so mambo ya biasharaa na huduma za jamii yatakuwa...
  3. T

    Naomba kujua maana ya neno Mungu

    Nataka kujua neno Mungu maana yake nini, weka swala la dini pembeni, define neno Mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Naomba kujua maana ya neno Mungu

    Neno Mungu maana yake nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Kwanini mawimbi ya satellite (dish za ku-band) yanaathiriwa na hali ya hewa kuliko ya mawimbi ya radio?

    Google kwenye mtandao, tabia za radio waves na tabia za K-U band dish, utapata sababu.
  6. T

    Fofauti ya Pesa, fedha na Hela ni ipi?

    Naomba kujua tofauti ya Pesa, fedha na Hela.
  7. T

    Gari Canter used kutoka Malawi

    Naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua namna ya kuzipata Gari canter used kutoka Malawi. Hasa zile multipurpose ambazo unaweza ukazitumia kusombea na mchanga.
  8. T

    Msaada kwa mnaoijua vizuri Sumbawanga

    Ipo Hotel inaitwa Ngetijo. Iko karibu na stend ya mabasi.
  9. T

    Membe: Rostam wewe ni mwenzetu umekatwa mkia, ukishakatwa mkia hata ujitahidije mkia wako ni mfupi tu...

    Huko kusini Membe hajafanya kitu, nani atampa kura, kwake tu amefanya vitu, Lindi na Mtwara amewafanyia nn huyu Mzee, ameshindwa hata kupeleka chuo Lindi inadorora tu, angepropose hata chuo cha diplomasia kukawa na Branch Lindi wakati akiwa waziri wa mambo ya nje.
  10. T

    Makamanda katika kubadilishana mawazo

    Subiri mwakani, ndo utaelewa kama hao ni makamanda au ni nn!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    Gerezani kunarekebisha tabia, kutoka mbaya kuwa nzuri!

    Kuna watu kadhaa ambao walikuwa na Tabia mbaya sana, lakini baada ya kupelekwa gerezani au Mahabusu na kukaa huko kwa muda flani, naona sasa wamekuwa na tabia njema na naona wanaanza kuwa mfano wa kuigwa kwa tabia njema waliyonayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. T

    Msaada tafadhali kuhusiana na jiko la gesi

    Kuna rubber moja kama seal inayozuia gas isitoke ukiiruhusu kwenda kwenye jiko imeondolewa au imepotea, itafute na kama haipo, rudi kwa aliyekuuzia mtungi/gas akuwekee!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. T

    Kujaribu kupambana na Lissu ni kujaribu kupambana na Mungu mwenyewe

    Labda Mungu mwingine, lakini c Yehova. Hata Ng'ombe anaweza akaabudiwa kama Mungu!! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. T

    Hawalali wanaomba janga nchi ili jpm na serikali yake washindwe

    Viwanda havioti kwa siku moja ww, ni process, hata mafanikio yako huamki asubuhi umeshafanikiwa, ni process!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom