deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Habari ya leo,
nimekuwa mtumuaji wa TV hasa madishi ya FTA futi sita yale ya zamani yalikuwa hayaathiriwi na mawingu wala mvua. cha ajabu ving'amuzi ya ku-band hivi vidogo vya sasa havihimili hali ya hewa kabisa je tatizo nini? Wakati huo wingu zito radio masafa ya FM unaipata vizuri kwanini mawimbi ya satellite yashindwe?
Karibuni wataalamu hapa.