Recent content by Tallina

  1. T

    JamiiForums Tanzania No comment

    Ha ha ha
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye jinsia mbili(shemale)

    Eeeh, mmh
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenu

    Nimekaona, sijui kanapumuaje!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jumanne Ngoma: Mgunduzi wa Tanzanite anayetaabika

    mmmh, jamani!, kama hali ndio hii, not good hata kidogo, lol
  5. T

    JamiiForums Tanzania Stories za wachumba wa Jamiiforums

    Dah, pole sana Mamii, hii mitandao hii!, Mi naona hata huyo wa sasa hakufai, usijiingize kwenye matatizo tena kwa wanaume wasiojielewa, mchecheto wa kuolewa ndio unaokutesa sana, jitahidi kuwa calm ili kuona ukweli wa hao wanaosema wanataka kukuoa, usiolewe ili kumfurahisha mtu fulani, ingia...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Usiamini mtu yeyote, imenitokea soma itakusaidia

    lol, pole, kuna kaka mmoja hayo yalishampata pia, aliibiwa na rafiki yake wa Sekondari.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo amuua mwanae na kumficha uvunguni

    mmh, lol!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuonyeshwa mapenzi yaliyopitiliza: huyu ana ushuhuda

    Lol! hivi kila kukicha wa kuvumilia ni Wanawake tu!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

    lol, pole!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend aliye serious

    ok, usiku mwema
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend aliye serious

    Kwa mfano, ni bora uwe single/ uishi maisha yako ya kawaida or uolewe na mtu muishi maisha ya kawaida kuliko kuolewa na mwanaume mfano mfanyabiashara mwenye maisha ya juu ambaye kwenye mambo yake ya kibiashara ni mtu wakudhulumu sana wenzie, huyo hafai, atailetea familia matatizo na kuwaingiza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend aliye serious

    Better kuchagua ukapotea/ akabadilika later kuliko kuwa na mtu ambaye hana tabia unazotaka ukawa naye tu ilimradi, kama ulichagua angalau hutajilaumu sana, labda pia unaweza mrudisha alivyokuwa mwanzo, tofauti na mwenye tabia zisizokupendeza ni kero mwanzo mwisho, akibadilika kuwa mstaarabu ni...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend aliye serious

    Ningekuwa na kiherehere cha kuolewa, ningeolewa hata before 22, by the way thank God ukoo wetu hatuna nature ya kuzeeka kulingana na umri, mtu anaweza kuwa 45 ukadhani ana 31. Kikubwa kwenye ndoa sio kuvamia tu, watu wengine wanaoana kisa kina fulani wameoana, kama fashion mwisho wa siku hata...
Back
Top Bottom