Usiamini mtu yeyote, imenitokea soma itakusaidia

Usiamini mtu yeyote, imenitokea soma itakusaidia

Kumbe aliiba tu simu? Nikajua alikubaka usiku. Acheni uswahili, kwake magomeni; kilichofanya alale kwako ni nini? Na kwenye interview kaemda bila kuoga wala kubadili nguo? Mnaishi sayari gani?
 
pole sana, naona umeamua kumuintertain rafiki wa kitambo! ungetaka kumkamata ungemkamatavizuri tu na simu angerudisha, sasa ameshauza tayari!

Ndugu kwenye situation kama hii tupe ujuzi unamkamataje huyo mtu?
 
pole sana.....lakinI kutokana na maelezo yako ungeweza kumkamata huyo rafiki yako mapema usinge mshutumu kwanza....ungevuta taratibu ni sawa na yule anayemkimbiza mwili taratibu...ila usimwamchie deal naye mpaka umfundishe adabu
 
lol, pole, kuna kaka mmoja hayo yalishampata pia, aliibiwa na rafiki yake wa Sekondari.
 
Mkuu hata mimi yamenikuta nilikutana na Rafiki yangu wa utotoni ambaye tulisoma primary pamoja na tuliishi majirani baadae wazazi wake walihama sababu pale mtaani kwetu walikuwa wamepanga hivyo walivyojenga wakahama.hivyo hata na shule alihama.sasa nikakutana naye muhimbili mwezi june akanipeleka ofisini kwake maana yeye ameajiriwa kama procurement officer pale muhimbili.tukapeana contact na wikend moja akanikaribisha nikaione familia yake.kiufupi urafiki ukarudi tena.sasa sikukuu ya IDD nakumbuka tarehe 29 July akanipigia Simu nimuazime 50000 sababu mshahara wa july haujatoka.kwa kuzingatia yeye na familia yake ni waislamu ile IDD inawahusu nikamtumia kwa tigopesa.basi mpaka tarehe 10 august kimya nikampigia anasema bado tarehe 15 nikampigia akasema atatuma yupo tight nikajua mshahara tayari atatuma.basi tokea aseme hivyo hajawahi kutuma na hata calls na SMS halerespond.nimepanga siku nikamuabishe ofisini kwake na urafiki ufe
 
duuuu pole sana kweli rafiki yako alishabadilika na si kila rafiki ni wa wakumpeleka nyumbani tena kulala,mbaya zaidi hujui anapokaa wala anajishughulisha na nini?
 
Einstein, hio simu ya ghali hukuiwekea tracking ili ujue ilipo hata kama imeibwa?
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha mbali sana, hili wanaliweza shemeji zangu Wapare pekee!! Anauza ng'ombe kwa kesi ya mbuzi, yaani hapo ni ili akukomeshe tu.

Wapare noma, ananunua kesi. Nimeiona sehemu nikacheka balaa
 
Mkuu usimwache mtu kama huyo hivi hivi...jaribu kumfatilia utamkamata then mpe kipondo mtupie jela akaoze. Yaani kuna watu wana tabia za kipuuzi kama hizi dawa yao ni vipigo vya mbwa mwizi tuu.
 
Fanya mpango umkamate ili iwe fundisho kwake, hela imekua ngumu sana alafu mtu anakuibia, fanya mpango ili iwe fundisho, mi naamini utaipata bila shida
 
Kosa kubwa tunalofanya wengi wetu ni kuwachukulia rafiki zetu wa kitambo kwamba bado wana tabia zilezile tulizowafaham mara ya mwisho tulipokua nao karibu. Tunasahau kwamba hao rafiki zetu wameshapitia mabmbo mengi na changamoto nyingi kwenye maisha ambazo zimewabadilisha kabisa tabia, misimamo na jinsi wanavyochukulia mambo.

cc The Boss
 
Last edited by a moderator:
ungekua umeoa wala ucnge ibiwa. sema mnaona wanawake kama nuksi ila ni msaada mkubwa ktk maisha. uyo mwizi wako mtafute mkamate chukua namba yake mpe mwanamke ajifanye amewrong no. utampata kilaini sana. tena huyo jamaa c ananjaa mpe huyo mwanamke elfu 5000. aitume kwake zen ajifanye amekosea ampigie amwambimbe arudishe. akigoma akae tena wiki amrushie nyingine najua elfu 15000 ukiitumia vizur unamkamata. sku ya tatu amwambie waonane ajifanye ametokea kumpenda amwahid vitu vizur najua njaa zake zitamweka ktk 18
 
ungekua umeoa wala ucnge ibiwa. sema mnaona wanawake kama nuksi ila ni msaada mkubwa ktk maisha. uyo mwizi wako mtafute mkamate chukua namba yake mpe mwanamke ajifanye amewrong no. utampata kilaini sana. tena huyo jamaa c ananjaa mpe huyo mwanamke elfu 5000. aitume kwake zen ajifanye amekosea ampigie amwambimbe arudishe. akigoma akae tena wiki amrushie nyingine najua elfu 15000 ukiitumia vizur unamkamata. sku ya tatu amwambie waonane ajifanye ametokea kumpenda amwahid vitu vizur najua njaa zake zitamweka ktk 18

ni kweli!
 
Back
Top Bottom