loh, sasa na wewe ndugu yangu nanunua vifaranga kwa mtu mbona makampuni yako mengi sana wanauza vifaranga, unaagiza unaletewa popote ulipo, au alikuambia anakuuzia sh50?
huyo dawa yake ni kumuwekea mtego ukimkamata unamlisha cement belesh moja akafie mbele.
labda kwa maombi mkuu
we pdidy na wewe umezidi vituko, tunazungumzia vifaranga vya kuku unawaza uzinzi, btw,alikuwa anahitaji vifaranga vitatu kama pakti ya condom?labda kwa maombi mkuu
[h=1]Natoa Tamko la kupinga kukanusha juu ya hii taarifa yenye kichwa cha habari kitomar2 ni jambaz kanitapelikuhusishwa na jina kitomai.[/h]
Awali ya yote natoa shukrani ziwaendee wana JF wote walionipigia simu, walioni PM, walio ni sms na wengine kuchangia kukanusha juu ya hiyo habari ya kutohusishwa na kitomai mimi.
Kwanza mimi natumia jina la kitomai na siyo kitomar2 Na ukitaka kujua habari za kitomai google, kitomai au tembelea (www.kitomai.com au https://www.facebook.com/kitomaikayinga) humo utajua nini kitomai anafanya. Huyo kitomari2 ni kiumbe mwingine asihusishwe na mimi.
Kama haujaridhika na kukanusha huku na unahitaji maelezo ya ziada ni-whatsapp humu r+255755312233 au nipigie/sms kupitia namba hizi 0784225000 au 0717114409. Mimi nipo kama ninavyooneka katika profile pic yangu.
Aksanteni.
we pdidy na wewe umezidi vituko, tunazungumzia vifaranga vya kuku unawaza uzinzi, btw,alikuwa anahitaji vifaranga vitatu kama pakti ya condom?
kivipi?
UNAJUA TUMBONI KUNA MICHANGA IKIZIDI INAITWA APPENDEXhuyo dawa yake ni kumuwekea mtego ukimkamata unamlisha cement belesh moja akafie mbele.
Pole mkuu,
Ila haya mambo ya ni PM ndio matokeo yake.
We tafuta Picha yake iweke humu live.Ili tumjue,maana kuna watu watakupeleka hadi kwao.
Yaani hata matumzi ya Sima watu mnajua kwenye facebook tu,mie mtu nikihisi tapeli kwanza nategensha sim namrekodi kila kitu.na kwa bahati kuna devices kama Peni tu kuna jamaa nilimuaiza china,basi maelezo yote na kila kitu narekodi tena kwa Video Cam,iliyopo kwenye pen yenye USB devise.
Mie ukinidhulumu hata 100 aisee nakuuwa tu
Hahaaa, ungekuwa jirani ningekuja kukuliza laki tu nione!Pole mkuu,
Ila haya mambo ya ni PM ndio matokeo yake.
We tafuta Picha yake iweke humu live.Ili tumjue,maana kuna watu watakupeleka hadi kwao.
Yaani hata matumzi ya Sima watu mnajua kwenye facebook tu,mie mtu nikihisi tapeli kwanza nategensha sim namrekodi kila kitu.na kwa bahati kuna devices kama Peni tu kuna jamaa nilimuaiza china,basi maelezo yote na kila kitu narekodi tena kwa Video Cam,iliyopo kwenye pen yenye USB devise.
Mie ukinidhulumu hata 100 aisee nakuuwa tu
Hy Peni Yenye Uwezo Wa Kurekodi Wapi Inakopatikana Na Kwa Bei Gani? Tujulishe Mimi Naihitaji,
Kiukweli Kitomari2 kachafua hali ya hewa humu jf, kwa style hii tutashindwa kusaidiana hata kwenye masuala nyeti kama afya n.k ambapo ili uhudumiwe lazma utume hela kwanza.
Hivyo nawaomba tuendelee kusaidiana kama kawaida.
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu Kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi