Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

Status
Not open for further replies.
Nyani Ngabu wote wanaonekana wana tatizo kisaikolojia...km marafiki wako hivi je marehemu alikuwaje??kwanza wakazike kwanza waanue tanga ndo waje kutukana mitandaoni. Watu mmefiwa busy mko mitandaoni kutukana...haihuusu.

Mzima unapokomaa na wenye matatizo ya kisaikolojia ndio mzani unagoma kubalansi hapo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mnaomjua huyo Betty tunaomba mtujibu basi, alikuwa nani au alikuwa na mamlaka gani hapa Tz!

Hili laweza kuwa swali la ubinafsi. Binafsi sioni haja ya kuuliza swali na namna hii, kwangu mimi imetosha na kuumia nikijua kuwa ni mtanzania mwenzetu. Hata kama si mtanzania inatosha kuumia kuwa ni mgeni ameumizwa na hatimaye kufa ndani ya nchi yetu.

Upendo haubagui, ndiyo nyie wenzetu mnaenda hospital kwenye vyumba vya kulaza wagonjwa, mnawajulia hali tu ndugu na jamaa zenu wengine mnawaacha kisa hamuwajui na hawawahusu.
 
Hata kama si mtanzania inatosha kuumia kuwa ni mgeni ameumizwa na hatimaye kufa ndani ya nchi yetu.

Ameumizwaje? Autopsy report ishatoka? Au unasadiki tu kuwa kaumizwa?

Upendo haubagui, ndiyo nyie wenzetu mnaenda kwenye vyumba vya kulaza wagonjwa, mnawajulia hali tu ndugu na jamaa zenu wengine mnawaacha kisa hamuwajui na hawawahusu.

Kwani ni lazima kumjulia hali kila mgonjwa aliyelazwa kwenye vyumba vya kulaza wagonjwa?
 
mimi nafikiri sasa ukitaka uwishi kwa amani basi kidogo JF utapata tumain . ila huki kwenye FB au TWITTER utakufa mapema kama huyo dada kama huna roho ngumu
 
wakuu ni dawa za kulevya ndo chanzo cha kifo hiki mi npo karibu sana na family hii na mchezo nliujua toka mwaka jna ukipangwa kwa ustadi mkubwa ila ndo hivi tena mungu akurehemu mpendwa wangu

kwa hiyo hata Zitto anajua hizi issue za madawa!?
 
Last edited by a moderator:
mimi nafikiri sasa ukitaka uwishi kwa amani basi kidogo JF utapata tumain . ila huki kwenye FB au TWITTER utakufa mapema kama huyo dada kama huna roho ngumu

Tatizo fb na Twitter wanaishi kwa show off
 
Hii isue imenisikitisha sana.
Katika hili hebu serikali ifanye kazi na nina imani watakamatwa wahusika wote.
RIP Betty
 
Unajua sisi wengi tunaangalia kama ZZK si kitu tena ila cha msingi ni kuwa watu ndo wanamuinua kwa maandishi yao bila kujua. Wakumbuke CCM ndo imeifikisha hapo CDM na pia nao watamfikisha ZZK anakotaka na si wanakotaka. Mwisho mashaidi waongezeka katika hili (Just my observations).

Sawa kabisa ccm imeifikisha cdm hapa ilipo.
Lakini si sawa cdm imfikishe zito anakotaka.
cdm na ccm ni vyama vyama vya wananchi na siyo cha mtu mmoja.
Wewe na mimi ndiye tunawajibika kuutengeneza mustakabali mzuri wa nchi yetu na uwezo tunao.
hivyo zzk has got nothing to do with National destination, change is you and me,zzk ni muwakilishi tu.
Si zzk wala yeyote anayeweza kujifanyia mambo yake, macho yanayowatizama ni mengi.
Wakikosea tu, inakula kwao.
 
Inahitajika upelelezi kufikia conclusion, hili zingatia sana acha kukomaa na kauwawa!!!!!
1. Confidence ya mtu na who is she unaona kuna corelation?????? Ulitaka kujua personality yake au nini???!!!! Kumjua zaid sio crime ila si wametajwa say Jokate na Hasanali kuwa walikuwa wanafanya naye kazi take initiatives!!!
2. Hakuna mtu ambaye "kila mtu anamfahamu" inategemea tu mizunguko yako ya maisha na unaokutana nao, huwezi fahamu "kila mtu"!!!!!!
3. Facts za kifo haziungwi kwenye mtandao tena kwa vyanzo vilivyojificha, hata taarifa tu za mtu binafsi huwezi fikia tamati kwa njia hiyo, do your homework!!!!
4. Ndio maama zinasomwa kwenye misiba, uko sahihi. Taarifa fulani kwa sehemu fulani na kwa matumizi fulani, fika sehemu husika utapata taarifa husika!!!
5. Nashukuru kama hubezi, ila pia fuata njia sahihi za kumfahamu marehemu!!!!

PUMZIKA KWA AMANI BETTY, Namelessgirl sema aamin!!!

Hili jina lako linaashiria unaamini sana "majina" au kiwewe cha msiba kinanipelekea kufikiria ndivyo sivyo????!???

Jaribu kuficha ujinga wako, kuuliza huyo msichana ni nani kwa kosa gani na chini ya sheria zipi?
Kutokana na facts mlizoibuka nazo hapo si inaonyesha ameueawa, huo alijipeleka kujitupa mwenyewe?
Disgusting....
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kuficha ujinga wako, kuuliza huyo msichana ni nani kwa kosa gani na chini ya sheria zipi?
Kutokana na facts mlizoibuka nazo hapo si inaonyesha ameueawa, huo alijipeleka kujitupa mwenyewe?
Disgusting....
Makosa yote ni kwa mujibu wa sheria???!!!!!
Mbona hulali chumbani kwa babako kama kila kosa ni mpaka sheria iseme???!!!
Tulizoibua mi na nani???!!
Inaonyesha kwa viashiria vipi kwa mujibu wa deduction uliyofanya???!!!
RIP nameless girl happy now??!!! maana huyu kufa roho imekusimama kabisa!!!!!

Disgusting my foot, wivu mpaka kwa kifo!!!???
Shaizaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii isue imenisikitisha sana.
Katika hili hebu serikali ifanye kazi na nina imani watakamatwa wahusika wote.
RIP Betty

Nini hasa kwenye kifo cha huyu mtoto kilichokusikitisha sana?

Je, vile vifo vya wale vijana wawili kule Tabata waliochomwa moto hadi wakafa kisa tuhumu (nisome vizuri hapo, tuhuma tu) wizi havijakusikitisha?
 
Makosa yote ni kwa mujibu wa sheria???!!!!!
Mbona hulali chumbani kwa babako kama kila kosa ni mpaka sheria iseme???!!!
Tulizoibua mi na nani???!!
Inaonyesha kwa viashiria vipi kwa mujibu wa deduction uliyofanya???!!!
RIP nameless girl happy now??!!! maana huyu kufa roho imekusimama kabisa!!!!!

Disgusting my foot, wivu mpaka kwa kifo!!!???
Shaizaaaa!!!!

acha kuongea usichokijua!!!! nikilala chumba cha baba yangu inahisiana vipi na crimes?
Ndo nshauliza sasa what do you want?
Naona wivu wa kuuwawa ama?
WHO IS SHEEEEEEEEEEEEEEE?
How do you feel now?
Alllllaaaaaaaa...
 
Last edited by a moderator:
Yesu alikufa ili watu wapate uzima wa milele
Hayati Nelson Mandela alisota jela karibu miongo mitatu, mwisho alionekana uhuru ukapatikana.
Mahatma Ghand alikuwa akijinyima chakula (fasting) kwa ajili ya haki na uhuru wa watu wake mpaka umauti.
Na wengine wengi unaowafahamu wewe, mchango wao ulisomeka baada ya kuifanya kazi.
Waliumia wao, bila hataa kusikia sauti za watu, ilitaka moyo sana.
Hata kama utakataa lakini kila kitu kina impact yake ktk jamii,ikiwa ni pamoja na kifo.
Hapa tuutakuta mambo mengi tu yataibuka utashuhudia.
Mwisho na wewe upost chochote kinachogusa jamii tutachangia.

Sasa kutoa mifano ya kina Mandela na Mahatma na kufananisha juhudi zao na za huyu dada ni kunilazimisha kumchambua marehemu kitu ambacho sipendi na sio hekima, mifano yako haihusiani wala kulingana.
Halafu kumbe mmepost ili jamii iguswe ichangie? Nadhani msiba wowote ule unaigusa jamii husika bila hata post jf. Kama kweli unahitaji kuigusa jamii na kuielimisha basi kuna njia nyingi sana na si lazima zikufanye maarufu, hii ya kutumia vifo vya watu ni kueleze hisia zako binafsi ukitaka jamii izielewe kama ww unavyo zielewa
 
acha kuongea usichokijua!!!! nikilala chumba cha baba yangu inahisiana vipi na crimes?
Ndo nshauliza sasa what do you want?
Naona wivu wa kuuwawa ama?
WHO IS SHEEEEEEEEEEEEEEE?
How do you feel now?
Alllllaaaaaaaa...

You configure it from your derivation!!!!
From you, nothing at all, not now not ever!!!
Exactly, you are bloody jealousy, you wish for the same!!!
I feel like kicking ya ess and shove this ---- of yours in there, up the colon!!!

Harlot!!!!!
She is dead for real; let her RIP.

So try figure out your more considered to be important matters, might be more useful than seekingfor a kick in here asking about and troubling the resting soul!!!
By the way, you got a boyfriend????!!!
Check with him, its even more important than this!!!!
 
Watu wanakasirika wanapoulizwa kuhusu marehemu maana wanalazimisha awe maarufu kwa jamii nzima kama alivyo maarufu kwao. Mpaka anafananishwa na MADIBA na MAHATMA kweli? Hebu msitufanye tuanze kuisumbua roho ya marehemu huko iliko pumzika.
Halafuuu... alitekwa au alienda mwenyewe huko au ilikuaje akafanyiwa huo ukatili? Msichukie kujibu maswali, ishatokea
 
You configure it from your derivation!!!!
From you, nothing at all, not now not ever!!!
Exactly, you are bloody jealousy, you wish for the same!!!
I feel like kicking ya ess and shove this ---- of yours in there, up the colon!!!

Harlot!!!!!
She is dead for real; let her RIP.

So try figure out your more considered to be important matters, might be more useful than seekingfor a kick in here asking about and troubling the resting soul!!!
By the way, you got a boyfriend????!!!
Check with him, its even more important than this!!!!

Kwanini unapoteza muda wako kuandika sana...
Point iko wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom