Recent content by Tall Complicator

  1. T

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    wamebandika tu chuoni kwnye tovt yao hawajaweka bad kwahyo mkayafwate huko chuon
  2. T

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    nenda chuoni kaangalie wameshabandika majina Leo
  3. T

    JamiiForums Tanzania MKOPO

    wamesha update majina Jana tafadhali jaribu kuyaangalia tena kwenye tovuti yao
  4. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    lazima wawe na wenge wamehaso Sana na jkt wengine wamechoka kitaa hapaelewek, acha waende wakale boommm
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mambo yameiva: Bodi ya Mikopo yaachia awamu ya kwanza ya waliopata mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019

    unapaswa uangalie kweny account yako uliotumia kuomba mkopo, ila bado hawajaweka wanasema wataweka siku chache baadae
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je, Elimu inayotolewa katika shule za misingi, sekondori na vyuo inawasaidiaje wanafunzi kujijengea uwezo binafsi WA kufikiri???

    Ndug wana Jf nimeileta Mada hii kusudi tuweze kuchambua, kwa kina kuhusu elimu zitolewazo shuleni na vyuoni ni kwa kiwango gani kinawasaidia wanafunzi kuwa na uwezo binafsi wa kufikiri na kuweza kkuchambua na kutatua changamoto mbalimbali wanazokutana Nazo katika maisha yao ya kila siku. Na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Dogo wa miaka 19 aliyefungua biashara ya 75M+

    exactly true as you said,
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    apana sina link cheki kwenye tovuti yao wameshayaweka
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    Yeap ni kweli wameongeza adi tar 10 , Na wameshatoa majina ya selection yoteeeee.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Hivi kuna mwenye pointi 9 aliyechaguliwa MD kwa vyuo vya Mhimbili, UDOM, KCMC au CUHAS (Bugando)?

    Naomba kuuliza je Kama umechaguliwa single selection, na koz nliochaguliwa siitaki kusomea naweza kufanya Application second round???
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    bado hawajatoa ila ingia kwenye account yako uliyotumia kuaply angalia selection status yako, wameonesha huko Kama umechaguliwa fanya haraka uspoteze mda kusubiri hayo majina manana wanasema kunatatizo limetokea
  12. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    wameshatoa vyuo vingine Kama muhas, udom namzumbe na vingine
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    OK pw
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    hivi wakuu udsm hawajatoa hayo majina ya first round?????
Back
Top Bottom