Nauliza tu: Hivi kuna mwenye pointi 9 aliyechaguliwa MD kwa vyuo vya Mhimbili, UDOM, KCMC au CUHAS (Bugando)?

Aliepata chuo kimoja anaeza fanya application second round Ili kujaribu bahati sehemu Nyingine?
Mkuu unatafuta balaa ya TCU, watakutema hata hicho kimoja ulichopata!!!!!! Sana sana usubiri uombe kubadilisha course ukiwa chuoni .
 
Alipata CBC - PCB
aisee mwambie aspanic atulize akili ana points nzuri..
Mwambie round ya pili aombe kairuki,st john....hii kitu ilinipata mwaka Jana nilikosa chuo round ya kwanza alaf ufaulu mzuri daah skuamini.....

Muhas,udom mwambie asahau.....ajaribu hizo private bila kusahau arudishie hayo machaguo take cuhas,kcmc hizo round zinazokuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wanaohitaji kusoma MD wenye division one points 8 na 9.....round ya pili ombeni cuhas,kcmc,kairuki na st john kwa Bpharm.....uspoteze muda wako kuomba tena udom na Muhas MD amini nakwambia hutopata.....maana kwa takwimu mpaka sasa muhas wamechukua wanafunzi 221 wakati capacity yake ni 210....na hapo wamechukua points 6 mwisho.....

NB.Kuweni makini round zinazofuata kuomba vyuo visivyo na ushindani ...kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee mwambie aspanic atulize akili ana points nzuri..
Mwambie round ya pili aombe kairuki,st john....hii kitu ilinipata mwaka Jana nilikosa chuo round ya kwanza alaf ufaulu mzuri daah skuamini.....

Muhas,udom mwambie asahau.....ajaribu hizo private bila kusahau arudishie hayo machaguo take cuhas,kcmc hizo round zinazokuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, kuna watu kibao wtaachia nafasi baada ya kuconfirm MUHAS na UDOM, kutakuwa na nafasi kibao KCMC, Bugando (CUHAS), na St Johns. Kariuki asiguse labda kama yuko tayari kulipia!!
 
Ndiyo matokeo yasha toka udom na muhas weye ukiingia online utayaona. vle vle kama umechaguliwa unatumiwa massage kwenye namba yako ya cm. Mie Udom nisha tumiwa.
 
Naomba kuuliza je Kama umechaguliwa single selection, na koz nliochaguliwa siitaki kusomea naweza kufanya Application second round???
 
Back
Top Bottom