Recent content by Taliyah ertex

  1. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Kutunza coin za efootball ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule!
  2. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Najua ni ngumu lakini uko mbele week 3 zijazo ni moto
  3. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    😂😂🤣🤣 tunza coin Konami wana tuchuzaa mzee utanikumbuka
  4. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    maintenance mda bado?🫢🫢🥱🥱😂😂
  5. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Sawa swala la offdide mbona wameweka 100% na hadi vivuli wameweka wameshindwa vipi kushika mpira ok sawa kwanini wameweka mabeki huwa wanaweka mikono nyuma kuogopa kushika ndani ya box?
  6. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Kingine game zote sio pes ,dls wameshindwa kabisa kuweka code ambazo mchezaji akishika ndani ya 18 iwe penalty auakishika mchezaji iwe faulo? Niulizie kwa konami
  7. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Shida halina offline🤒🤒
  8. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania Mwanadada anaefanya kazi melini anaeleza faida na changamoto anazopitia

    Na je Oiler anaruhusiwa kufanya kazi za Ab
  9. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Chato Mkoani Geita, Wananchi Wakesha kuisubiri

    sio kwa tanzania ya kila mtu chake👐🏿
  10. Taliyah ertex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wadada wa mjini mnawezaje

    Ni kweli kabisa mkuu
  11. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania Ukija kuamua kuanza kufuga utafuga mnyama gani?

    Sahihi mkuu
  12. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kumudu maisha ya vijijini baada ya kuhamia /kuajiriwa huko?

    Shida ipo kwako wewe ambaye umewaza hivyo lakini watu wengi hawawazi sababu hawana mtu wa kuwavusha bahari ya shamu wakati ww ndo umekimbilia mjini Sasa kijiji Kitatendelea vipi !🫡😂🤣
  13. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania Kanye West: Prayers are not working

    Kanye ni mwanamziki mzuri lakini kiupande mwingine wa pili wa mambo ya dini uku inabidi awache watu wabaki na IIMAN zao unajua mambo ya imani bhana na Ndoo manaa hata kiuchumi kaporomoka mulikuwa na kundi kubwa sana. La watu walikuwa wakimfutialia lakini alipo anza mambo ya dini ,kuziaki imani...
  14. Taliyah ertex

    JamiiForums Tanzania Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel

    🙏🙏
Back
Top Bottom