Recent content by talentboy

  1. talentboy

    Unafanya nini baada ya mshindo kusubiri awamu nyingine

    nasubiri maujanja...mana wengn kikitoka kimoko ndo mpk kesho asubuhi ndo tukurupuke tena😂
  2. talentboy

    Natafuta rafiki wa kiume(mwenza)

    Yani hujataja sifà za muonekano, si mtego huu! mwisho mkionana na huyo mwenza mje kukimbiana!🤔
  3. talentboy

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Nchi ndio masikini ila watu wake baadhi sio masikini...so, usishangae mkuu.
  4. talentboy

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Huu uzi ni toka 2022 ni mzuri unafurahisha na kuhuzunisha pia..nilipoanza page 1 nikajikuta namalizia zote 46.mpk sasa zilipofikia...HAKIKA TANZANIA NI KUBWA NA WATU WANAISHI MBALI SANA TENA KATIKA MAZINGIRA YA KUSHANGAZA.🙌🙌
  5. talentboy

    Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

    Kwa hiyo now ndo umefahamu kwanini anafanya hivyo baada ya kuupitia huu uzi?!😂
  6. talentboy

    Ukweli kuhusu Maisha

    Swadakta...!
  7. talentboy

    Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

    Bila kumsahau na Mansulee prezident wa ma.underground wakongwe.😂
  8. talentboy

    Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

    Wacha dharau bro hizo 1 za HKL ndo zimetufanya wengine leo hii tunaheshimika makazini mwetu, tunaendesha vitengo, tunaheshimika katika jamii zetu, zimetupa exposure ndani na nje ya nchi na kubwa tunazilea familia zetu kwa kuzipatiaa mahitaji yote muhimu...kwa hiyo, kaa kwa kutulia maisha ni...
  9. talentboy

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    hizi zinaitwa pasi ndefuu...!noma sana uzuri ndege haichoshi sana km juu kumetulia, unalala unaangalia movie, unalala tena unaangalia movie, mpk unafika.😃
  10. talentboy

    Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

    ngoja niendelee kujifunza kwanza, nashawishika kutaka kuanza hii kitu...mwanzoni ilikuwa napingana nayo sana hii kitu ila kwa sasa kuna sauti ndani yangu inanambia anza kufanya uone Mungu atakujaalia vipi, you never know😃
  11. talentboy

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    toilet papers, kama unakunya kutu ngumu ya kuganda km ugali wa muhogo utajua hujui...😂
  12. talentboy

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    choo cha ndege ni kidogo tu saizi ya kuingia mwili mmoja wa mtu mzima...sema shimo lake ni tofauti na tulivyovizoea, baadhi ya ndege huwa hakuna maji kuna only toilet papers...mimi nlivyoingia chooni nilitaka kutoka nduki wakati wa kuflash, mana ulitoka mlio mkubwa sana mle ndani hlf hakuna maji...
  13. talentboy

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    mbona ndege ikitulia unatembea vizuri tu coz kuna wakati inafika hata huhisi kama upo ndani ya ndege inayokwenda kwa kasi...so unaenda ma kurudi salama kbs, we huoni cabin crew wanavgotembea confidently kbs.! punguza wogaa uende chooni😅
  14. talentboy

    Mikopo tumekopa sawa,ni kipi cha maana kimefanywa na hiyo mikopo?

    Mpaka sasa najiuliza hivi ile mil. 25 niliyokopa benki nimeifanyia nini cha maana? jibu sina aise😅
Back
Top Bottom