Recent content by tal tal

  1. T

    Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

    Kama ndg yangu hatokaa kwa kutulia basi na apotezwe tu wala sitokuwa na muda nae kwa sababu ya kiherehere chake.
  2. T

    Rwandan armed forces to be deployed in Mozambique

    Hata sisi tunapeleka na tunashaanza kuandaa battalion ya kwanza
  3. T

    Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

    Nakubali bro, nami mpk leo ndiyo muvi ya kivita niliyoitazama mara nyingi zaid.
  4. T

    Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

    Shukrani mkuu [emoji120][emoji120][emoji120] niko vzr sana
  5. T

    Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

    Hiyo km 5/lisaa ni kwa kutembea siyo kukimbia, mimi huwa natumia masaa mawl na DKK arobain kukimbia umbali wa km 42.
  6. T

    Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

    Nyie ndo huwa mkiingia anga za watu mnakula za kutosha, kumtii Mungu ni kwny bible ila kwny katiba ipo kumtii mkuu wako. Kama unajua kwmb hakuna mkubwa zaid ya Mungu bs achana na kaz zinazokulazimisha kula kiapo.
  7. T

    Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

    Haki ipo mbinguni ndugu yangu
  8. T

    Kauli za mama zetu enzi zile...

    Mimi baada ya kutoka town nilikokuwa nasoma na kwenda hom kwa bi mkubwa, siku ya kwanza kwenda kisimani nilimuuliza, mama nichukuwe chombo gn kinachonitosha? Yeye akajibu fastaa tu, chukua pipa [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. T

    Inachofanya Tanzania siyo poa: Tanzania forcibly returned hundreds of Mozambicans fleeing jihadist raids last month

    Ndo maana unaambiwa walianza mdogo mdogo kabla ya kuwa na hizo silaha na vifaa unavyovisema, insue ya MKIRU watz wengi huwa hawaelewi ilipokuwa imefikia na kaz ngumu iliyofanyika kuwatawanya wale jamaa, ndo maana huwa wanaishia kupiga kelele tu kwny mitandao ya kijamii! Kiufupi ni kwmb bila...
  10. T

    Inachofanya Tanzania siyo poa: Tanzania forcibly returned hundreds of Mozambicans fleeing jihadist raids last month

    Na kama kawaida yetu hatunaga shoo ndogo, CDF anaposema nchi ipo salama anamaanisha.
  11. T

    Comment za kuchekesha mitandaoni

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. T

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Exactly, nayajua mengi tena vzr tu! Ukibahatika kufanya kaz kwny hiz missions bro, utawachkia sana UN
  13. T

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Bro ukiwa mission area ndo utaelewa maana halisi ya haya mambo. Unapokuwa huku unaambiwa jukumu lako la msingi ni ulinzi wa raia( protection of civilian) lkn kiukweli kaka hamna kitu kama hicho ni maigizo tu. Raia wanaweza wakawa wanachinjwa kijiji jirani kabisa na kambi yenu lkn hamruhusiwi...
  14. T

    Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

    Usimsahau na msanii wetu @Rohosaba
Back
Top Bottom