Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Rais asipokua makini anaweza kumaliza muda wake akifanyia kazi issues za wapinzani TU

Ndio maana huwa wanasema "if you give them an inch they will ask for a mile".

Wakimaliza hili, watadai jingine na wakiona wametimiza malengo yao wataanza kumpinga.
They are serious social issues! Huwezi kuzungumzia maendeleo wakati watu walidhulumiwa na kuharibiwa maisha na biashara
 
Huyu mama ni walewale tu.Anaonekana ni mtu anayependa ku Please regime iliyotangulia!
 
Kuna watu wanabeza ombi la Lema na kulifanya kisiasa.

Iko hivi, Kuna siku mwanafamilia yako atapotea Kama Ben Saanane, atapigwa Risasi Kama Lissu, atapotezwa Kama Azory na utahangaika pasipo majibu, utalia pasiwe na wa kukufuata machozi.

Utafuatilia kwenye kila taasisi hutapewa ushirikiano uliotegemea. Utatamani kukaa matanga lakini utasema je akiwa bado yu hai itakuaje.

Hivyo kabla ya kubeza kuweka siasa jiulize hili linamanufaa kwa umma?

Pili tutambue mojawapo ya kazi ya serikali ni kulinda raia wake na Mali zao popote walipo hata nje ya mipaka. Sasa anapotokea kapotea mtu au kuuwawa pasipo kujulikana lazima serikali ichunguze na kuwakamata wahusika.

Sasa kupotea kwa Ben na Azory Kuna Mambo mengi yamesemwa, kupigwa kwa Lissu Risasi Kuna mengi yamesemwa. Familia zao zinataka majibu na watanzania tunataka majibu.

Kuna waliokotwa beach na mtoni watanzania wanataka majibu wale ni kina Nani na waliuwawa na kina Nani?

Watanzania wengi wamepotea hasa huko Rufiji na Mkuranga watanzania wanataka kujua walipo.

Lakini pia Kuna watu walitekwa Mohomed Dewj, Roma na wengine watanzania wanataka majibu kina Nani walikua wanafanya utekaji ule? Je wameshadhibitiwa?

Vijana wa CCM na all pro CCM, Kuna wengi mlikua mnamshabikia Sabaya na kusema alikua anamshughulikia Mbowe, kumbe alikua anafanya yaliyo kinyume na kiapo chake Sasa hivi mnamkimbia.
Kama ndg yangu hatokaa kwa kutulia basi na apotezwe tu wala sitokuwa na muda nae kwa sababu ya kiherehere chake.
 
Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.

huyu lemma huwaga anamatatizo ya akili na sasa kama alikuwa anajifanya hajui hao aliyewapoteza ndiyoatajuwa maana gaidi yupo sehemu yqa kutaja makosa yote aliyofanya
 
Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu Lissu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha JPM tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake.
Yes Yes wakikuchoma na Pini na wewe unanunua super glue ndani utakutana...

na sindano 1 nzuri sana inayochoma "kama" au zaidi ya pini waliyotumia wao...

ningekua Rais ningeanza na utafiti wa aliemuua Rais then nafata tafiti zingine...
 
Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu Lissu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha JPM tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake.
Lema alioteshwa wewee, punguza hisia km za "mwendazake"
 
Back
Top Bottom