Rwandan armed forces to be deployed in Mozambique

Nchi zote za SADC zinapeleka majeshi huko.. South Africa, Namibia, Zimbabwe, Tanzania, Congo, Zambia nk
Lakini Nyusi si alisha sema hataki majeshi kutoka nje ya nchi?
Sasa hao Rwanda wanafuata nini huku?

Jamani niwaambie kitu, huku hakuna hicho munachokiita Alshabab, ni mapicha picha tu, ambayo sisi wengine tunaogopa hata huku kukomente.
Naishia hapo maana bado uhai ninaupenda.
 
Usiogope

Nyusi mwenyewe aliomba SADC, na hicho kikao kilifanyika mwezi wa 3 mwishoni, na Tanzania iliwakilishwa na Mh. Hussein Mwinyi
 
Ni unafiki wake tu hao mbweha walianza kwa mapanga anawaangalia tu ilhali anajua kabisa wanajeshi wake ni dhaifu na hawana uzalendo pesa mbele wanasaliti serikali now alshababy wanamiliki drone na silaha zote za kivita mpaka gwanda za jeshi eti ndo anaomba msaada washateka si chini ya wilaya tano tena kubwa mno hyo vita tuwaombee wanajeshi wote waloenda ila mpambano utakuwa mkali na walivyo wanakufa wanazaliwa yaani hawaishi!!
 
Ila kwa combination ya nchi zote hizo..hao jamaa lazima wapigwe. Watakimbilia wapi? Labda baharini.. maana wamezungukwa. Mwisho wao umefika nakuambia
 
Tunaomba Mungu iwe hvyo mkuu maana wamejua kuharibu Maisha ya watu mfaransa na marekani wamewekeza bilion za dollar Kwa Gas na Mafuta ni project kubwa Sana wafanyakazi kutoka nchi mbalimbali dunia walijaa mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa sana biashara zilikuwa zinatoka sio mchezo ila leo ukipita wilaya hizo ni magofu matupu watu waliwekeza mamilion kwenye majumba na guest house bado mahoteli ya kitalii walimouliwa wazungu na black wenzetu wengi wakacharangwa kama nyama ya supu wakaishiwa kuzikwa kama mbwa alogongwa!!

Wanajeshi wengi Sana wa mozambiq wamekufa tena vijana wadogo sana mana wao wanasomba Tu vijana wa mtaani training 3month wanashikishwa bunduki wakapambane na mijitu inashinda porini maisha Yao yote inasikitisha sana!!

Wafanyakazi elfu 20000 hawana KAZI bado wafanyabishara na raia walopoteza Mali na familia zao havielezeki mkuu tuwaombee Sana majeshi yetu pendwa yakawachakze mbwa wale tena maiti zao ziwe zinakusanywa zinatiwa moto !!
 
Back
Top Bottom