Recent content by Takayangu

  1. T

    Mwakyembe: Marufuku abiria Kuchimba dawa njiani

    Ukiichukua akili ya Dr. Mwakyembe pamoja mkuu wa kaya na wengineowote wanaowafanania inaonekana kabisa wanafikiria na kutoa maamuzi kwa mambo ya msingi kwa kutumia ubongo ulioathiriwa na sumu ya poloseum waliyompa huyo Dr mropokaji.Poor Dr.Mwakyembe ,pooor CCM gvt.
  2. T

    Kitambo saaana!!

    Aaah! Ww dogo sana huwezi jua hii kitu. Yaani imenikumbusha mwaka 1995 pale VINGUNGUTI ''A'' P/SCHOOL yaani kuangalia picha 5 sh 10/= wakati huo kwa pesa hiyo unapata supu ya mapupu kwa mama kapaya(rip my beloved grand ma)
  3. T

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    ngedere katema bungo nungunungu hakumbatiwi mfalme njonzi
  4. T

    Nauza gari aina ya Alteza

    weka full data jombaa. Imetembea km ngapi? Fuel transmition na kadhalika.
  5. T

    Original NOKIA X2, kwa bei cheee!

    Upo wapi? Maana mm npo bukoba na ninashida nayo.
  6. T

    Suzuki swift sokoni

    5mil ipo kama vp tufanye biashara.
  7. T

    Utafiti: Wachaga wazaliana kwa kasi

    Kweli ww umedoda kama jina lako, hizo tafiti zimefanywa na binadamu kama ww na pia unatakiwa ujue kitu nachoitwa research critics, sample space im Echukuliwa rombo tu na hayo maeneo mengi ya kilimanjaro wanamwachia nani? Mbona hawajaongelea infant mortality? Au na wewe mleta mada usiwe kama JUHA...
  8. T

    nauza gari suzuki escudo

    Hii gari haijawai kushushwa engine bro. Rangi ni nyeusi, na pia ni manual transimission pia ni milango mitatu. ilikuwa kwenye shirika la mradi kagera, sababu ya kuiuza nataka kubadilisha gari,
  9. T

    nauza gari suzuki escudo

    suzuki escudo, ipo kwenye hali bomba,imetembea KM 78000; petrol engine, manual flow gear, AC&CD player vpo safi kabisa. Bei 7mil. Kama kuna muhitaji ani pm.
  10. T

    Wazo la leo

    Nungunungu hakumbatiwi, ukijaribu imekula.
  11. T

    Nahitaji eka 5 za shamba nje ya dar na ufukweni

    Nina shamba heka 5 zipo misugusugu kongowe ya kibaha, limekaa vizuri 5km kutoka main road(morogoro rd) bei 8mil. Njia inapitika mwaka mzima. Kama upo tayari nijuze.
  12. T

    Gari linauzwa (Honda HRV)

    Gari niya mwaka 2006,petrol engine,imetembea km 72,000. Bei ni Mil 13.5 Kwa anayehi ani pm kwa 0713 869692
  13. T

    bado natafuta muhogo

    kama una nazi hapo upo pazuri nami nimejaaliwa JIMBUZI kajili ya kukuuuna hiyo nazi. Tena kabla ya kuikuna ntaifua kwanza iwe safi ili isije chafua tui litakalokamuliwa hapo. Waonaje hiyo, kama umeridhia we ni pm tu tutafutane ili nku hiyo ,mbuzi bi Jane.
  14. T

    Tigo wameshachemka jiji la mwanza

    kwa sasa imesharudi.
  15. T

    Tigo bukoba shida

    Hawa tigo kwa huku bukoba mbona wanatuzingua toka jana hakuna mtandao bukoba nzima. Watueleze shida nn?
Back
Top Bottom