nauza gari suzuki escudo

Takayangu

Member
Nov 12, 2011
35
13
suzuki escudo, ipo kwenye hali bomba,imetembea KM 78000; petrol engine, manual flow gear, AC&CD player vpo safi kabisa. Bei 7mil. Kama kuna muhitaji ani pm.
 
mbona maelezo yapo nusu mkuu, color gani, ya mwaka gani, manual or automatic gear,how many door? weka mambo yote hayo muhimu kuweza kumvutia mteja.
i will be back hope nitakuta maeelezo ya ziada
 
weka picha. Ni ya mwaka gani? Umeshusha engine mara ngapi na imepata ajali mara ngapi?

Nini sababu ya wewe kuiuza?

Ukinijibu na nikaridhika na maswali haya ntakuja kuikagua.
 
Hii gari haijawai kushushwa engine bro. Rangi ni nyeusi, na pia ni manual transimission pia ni milango mitatu. ilikuwa kwenye shirika la mradi kagera, sababu ya kuiuza nataka kubadilisha gari,
 
Hii gari haijawai kushushwa engine bro. Rangi ni nyeusi, na pia ni manual transimission pia ni milango mitatu. ilikuwa kwenye shirika la mradi kagera, sababu ya kuiuza nataka kubadilisha gari,

Blaza/madam biashara inapendeza sana kama ukiweka na picha,kufanya biashara bila kuweka picha hasa kwa vitu kama magari inakuwa vigumu sana kuuzika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom