Recent content by TAKATA

  1. T

    Muislamu aongoza uchaguzi wa Umeya huko London,Uingereza!

    Kura zinaendelea kuhesabiwa anaongoza kwa 44.5% dhidi ya mpinzani wake mwenye 34.9%.
  2. T

    Napenda mke wangu atokee Zanzibar..Inshaallah

    90% sikubaliani na wewe. Mimi namshauri kama anataka mke mwema basi atafute huko huko alipo maana zanzibar ya miaka iliyopita ni tofauti na ya sasa nawasilisha.
  3. T

    Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    Kama haijakupendeza fanya kama haujaiona.
  4. T

    Kwa nini Rais Magufuli anapata Kigugumizi kufuta mbio za Mwenge wa Taifa?

    Ameliongelea sana hili jambo, bila ya shaka atalishughulikia.
  5. T

    Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania

    Daaaa ni kweli, hii habari nimekutana nayo BBC swahili.
  6. T

    Kwa nini EATV na EAradio hawapigi nyimbo za Diamond

    Mara ya mwisho walizipiga kipindi kile cha show ya tigo na hiyo walikuwa hawana namna kwani walilipwa na tigo waifanyie promo ile show.
  7. T

    Wadada: Hizi Makeup, give us a break

    Hakika hujakosea, utakuta rangi zote zilizopo kwenye mtandio zimepakwa usoni.
Back
Top Bottom