1-uwe muislam
2-uwe na tabia njema
3-uwe unajiweza kwa kipato
4-uwe na kwako(usipange)..hii ni added advantage
5-uwe na nasabu ya kueleweka na isiyokuwa na historia ya mabalaa kama vile tabia ya ujambazi,wizi,ushirikina na maradhi ya kurithi.
6-kutegemeana na familia husika na asili yao,kama ni familia yenye asili ya kiarabu au uhindini basi nawe ukiwa na asili ya hizo race basi pia itakuwa ni added advantage.hapa ukiwa mweusi tii basi inabidi uwe na pesa ya kutosha....
PROCESS:
1-ukishampata uliyemridhia,utampeleka mshenga kwao ili akapose.
2-ukikubalika,utatajiwa mahari yao,siku hizi huwa wanapenda sana fenicha za ndani kama vile kitanda na godoro lake(ukubwa kulingana na matashi yao),kabati kubwa la milango mitatu la nguo,kabati la vyombo,dressing table....na kapesa ka wazazi kama laki tatu mpk tano. approximately mahari jipange kuanzia million mbili mpk 2.5m
3-mkiwa tayari itapangwa siku ya kupeleka mahari ukweni.baada ya hapo w.ume mtapanga siku ya kwenda kuoa kwa mbaali mkishirikisha upande wa kikeni,japo nyie ndo mtakuwa na power ya kuamua zaidi.
4-Ndoa....utakabidhiwa rasmi zigo lako.
5-Talaka ikiwa mtashindwana ktk iyo ndoa yenu kwa sababu moja au nyengine na hii ni baada ya kufata taratibu zote za talaka kwa mujibu wa dini ya kiislam.
Wengine wataongezea!