Kwanza kabisa nimpongeze Rais kwa kufuta sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika nchi ambayo haipo. Rais ameamua kusikia kelele za muda mrefu za wapinzani na akaamua ya kwamba tuachane na sherehe hizo ambazo zilikuwa mzigo kwa wananchi.
Lakini jambo linalonishangaza ni kwanini Rais ameacha kufuta mbio za Mwenge ambazo uzinduzi wake unafanyika wiki moja kabla ya siku ya Muungano? Kwa taarifa nilizopata ni kwamba eti Rais ameidhinisha na fedha za uzinduzi wa mwenge. Sasa uzalendo uko wapi katika hili?
Taarifa zinasema mbio za Mwenge hutumia kiasi cha bilioni moja ya serikali, bado fedha za wadau