Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Kwa mara ya kwanza kuna uwezekano wa Mji Mkuu wa nchi ya Uingereza ujulikanao kama London kuongozwa na muumini wa Dini ya Kiislamu ajulikanaye kama Sadiq Khan ambaye anagombea chama kijulikanacho kama labor dhidi ya mgombea wa Chama kingine kijulikanacho kama conservative Zac Goldsmith (Myahudi huyu)!
Bw. Khan anaongoza mpaka sasa!
Bw. Khan anaongoza mpaka sasa!
Picha chini inamuonyesha Meya mtarajiwa Muislamu pmj na Mke wake Saadiya!