Recent content by TAIKUBWA

  1. T

    JamiiForums Tanzania R.Mengi for President?

    Shalom Wana Jf Kila La Kheri...naombeni Maombi Yenu Nasafiri Usiku Huu Mda Si Mrefu Hasa
  2. T

    JamiiForums Tanzania R.Mengi for President?

    tuko pamoja,,,wengine tuliisikia baada ya kufungiwa hivyo tunaamini kufunguliwa kwa J NI UFUNGULIW KWA WATANZANIA WOTE AKUNA ALIE JUU YA MAMLAKA
  3. T

    JamiiForums Tanzania ATCL: Another Richmond!

    hawa watu siku zote wamekuwa wakilelewa na bado RAISI anakaa kimya....sasa ikulu amemwita wa nini???????\ DAVID najua uko ama on line ama unaona na kusoma mawazo ya wana JF ambayo kwa wakati mmoja yanaweza kukuonyesha nini cha kufanya kukwamika na laana hizi za kila siku......./ 1)))Kwa macho...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nini kina msibu Former IGP Mahita...??

    kikwete aanza kumchunguza huyu fisadi marijini kwanza na utoe ukumu tumeshachokana kuchunguza watu hakuna kinachoendelea
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nini kina msibu Former IGP Mahita...??

    nyarererits tushakuzoe labda ubadilike
  6. T

    JamiiForums Tanzania Habari Ndiyo Hiyoooo..

    > Jumanne Mei 06, 2008 Habari za Kitaifa Habari zaidi! Aliyekutwa na kichwa cha mtoto kortini kwa mauaji Veronica Mheta na Emil SimonDaily News; Tuesday,May 06, 2008 @00:03 Habari nyingine Ajali zaua watu wawili DarPonda matatani tenaAmuua mkewe kwa kumchinja shingoMchuchuma, Liganga...
  7. T

    JamiiForums Tanzania wanafunzi wafukuzwa kwa kukataa kula mavi ya watu

    Wanafunzi 1,200 wafukuzwa Shule 2008-05-06 10:35:51 Na Patrick Chambo, PST Mwanga Wanafunzi zaidi ya 1,200 wa Shule ya Sekondari ya Kifaru iliyopo wilayani Mwanga wamefukuzwa baada ya kupinga adhabu ya kushika kinyesi cha binadamu kilichokuwa kimehifadhiwa kwenye ndoo ya maji. Habari...
  8. T

    JamiiForums Tanzania JF yapata ushindi mwingine dhidi ya ufisadi

    chijui nicheme mhhhh hapa ndipo ninapoipenda JF nikilala JF tupu
  9. T

    JamiiForums Tanzania The road towards 2010 Elections

    tumshauri ndemburo ajiandae
  10. T

    JamiiForums Tanzania The road towards 2010 Elections

    kaka tunaitaji watu wa kuwasha mabomu na kukubali kujilipua kama wapalestina hivyo huyu mtu mwacheni tena aitaji anasa kama hiyo jamani
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Chuo Kikuu Mlimani kulikoni!!

    ooooooooo-----ppppp-----oooooooooo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Chuo Kikuu Mlimani kulikoni!!

    koba kugoma wamegoma jana na juzi na wanatarajiwa kuendelea na momo tatizo lilopo ni kubwa kiasi watanzania kama mnavyowajua hivi sasa wameamua hawataki kuchaguliwa viongozi just bora kiongozi.....walichofanya jaamaa waliweka watu wao wanafunzi wakasoma nyaakati wakachekecha wakachomolewa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

    kwikwiiiii kwiiii teeh teeehhheeehh
  14. T

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Richard Kasema Hata Na Wala Hafikiriim Kujiuzulu Kwa Hiyo Swala La Kujiuzulu Na Imani Liko Kwa M,uungwaaana Na Wananchi Kazi Kwenu
  15. T

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Mmesikia Jamaa Kadai Miaka Kumi Ya Uanasheria Mkuu Inamtosha Kuwa Na Hela Haya Mzee Mwanyika Kazi Kwako Kumi Ujafikisha Uko Kwenye Epa Ukifikisha Kumi Si Utakuwa Na Trillion....mi Bado Nakuhesabia Miak Inaonekana Hiko Cheo Kizuri Sana Jamani Kwa Mwaka Mmoja Inaamana Anapokea Million Miamoja...
Back
Top Bottom