mwanatanu
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 854
- 127
Wewe hujui ni kwanini Mama anapata kura sivyo?
Pia ili tusiende nje ya mada..Then taja sifa za hao viongozi wako vs R.Mengi.
Sifa zinazohitajika kwa rais VS zile alizonazo R.Mengi!
Hapo ndipo nitakapo waweza critics!
Naamini mjadala ndio kwanza unaanza!
Na pia kuna mabadiliko mengi sana ikija kwenye kupima chuki dhidi ya Mengi pale tunapo compare previous times VS the current moment!
Baada ya kuchoshwa na hizi habari za ufisadi ulivyoshimiri nchini,.Nimeona inabidi watu tuwe optimistic (dini ya masikini)kuwa tupo katika transitional period.
Kama ilivyotokea Russia baada ya Yeltsin kuiuza nchi kwa mafisadi akatokea Putin sasa sijui was gift from sir God au vipi....basi na sisi Tanzania kuna mtu ambaye si famous bali ni mtendaji kazi zaidi ya Sokoine anakuja......you can call me psychic or nimepagawa......lakini naamini (ndoto za mnyonge)hivyo.
kama hatuwezi kujipa moyo au kujidanganya basi tufanye kweli.....Mkuu huenda kidogo nimetoka kwenye mada alkini nipo palepale KIONGOZI ANAYETUFAA