Kilinzibar
Senior Member
- Mar 6, 2008
- 124
- 1
Ivi naomba kujua ni kitu gani kinaendelea katika Chuo Kikuu chetu sehemu ya Mlimani. Kulikua na uchaguzi ufanyike last week sasa uongozi wa huo ukasitisha uchaguzi siku moja kabla au tuseme masaa kabla sasa ni kuna kitu gani pale au ndio mambo ya Kenya na Zim nasisi tuna anza kufanyia practise kwenye Chuo chetu. haya wadau naomba maoni