Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

Pablo Escobar

Member
Apr 17, 2008
21
0
Na wewe unayesema, marehemu Ray alimpiga Dr. Ponjo kwa ubishoo wake u need to get ur facts staight. Marehemu alikuwa anapenda ugomvi na kupigana ovyo, hata ugomvi uliomuua haukuwa wake aliingilia mambo yasiyo muhusu.
 
Pablo Escobar

Member
Apr 17, 2008
21
0
Mimi simjui Dr. Ponjo hivyo but kitu kinachoniudhi is the fact watu wanaleta chuki binafsi. MIMI NAWAPA PRAPS WATANZANIA WOTE WALIOPIGA DILI KIWANJA, FROM CHINA,JAPAN, UK, USA AND ANYWERE ELSE IN THE WORLD. As long hawajawaibia wabongo wenzao they should keep it up.
 
Mama

JF-Expert Member
Mar 24, 2008
2,849

Na wewe ni mmoja wao. Kama humjui inakuwaje unajua kama watu wanaleta chuki binafsi dhidi yake?
 
Pablo Escobar

Member
Apr 17, 2008
21
0
What I meant by that ni kuwa sijui undani wa dili zake but I know the guy. I also know alll tthose waliofungwa Texas from Dallas to Houston. The bottom line they wew all trying to make it. Watu wote wanakwenda kiwanja kutafuta maisha. And thats the way wamepata dili so let them do their thing. Kwa hoa watu wanao-hate ni kwamba tu hawajapata dili but if wangepata dili au wangekuwa na hiyo akili they would have done the same thing.
 
fisadi uliyejitokeza hadharani. Fanya kazi halali achana na madili utakufa siku si zako mwanangu wee!Kama mambo magumu sana huko rudi nyumbani. Umeshasema kuwa Mponjoli hujui undani wake, ya ngoswe mwachie ngoswe sawa eeh?
 
Pablo Escobar

Member
Apr 17, 2008
21
0
nA WEWE Kana-Ka-Nsungu inaonekana maisha yako ni ya shida sana kokote ulipo hata kama uko kiwanja ndio maana unchuki sana kwani hata Mr.2 alisema wapo wanaotesa na wanoteseka hata huku kiwanja, which one r u? . Swali, Dr Ponjo alikuibia nini? au alikuwa anakutesa sana the way alivyokuwa amaishi?
 
Pablo Escobar

Member
Apr 17, 2008
21
0
NA wewe MAMA. Kwanza mimi niko Tanganyika na hata siku moja huwezi kulinganisha maisha yangu na yako hata kwenye ndoto zako. Yani mimi na wewe ni kama ebola na mafua, na sifanyi madili. So kama wewe maish yamekushinda njoo nikupe kazi
 
Mama

JF-Expert Member
Mar 24, 2008
2,849
0
NA wewe MAMA. Kwanza mimi niko Tanganyika na hata siku moja huwezi kulinganisha maisha yangu na yako hata kwenye ndoto zako. Yani mimi na wewe ni kama ebola na mafua, na sifanyi madili. So kama wewe maish yamekushinda njoo nikupe kazi

kwi kwi kwiiii. Uko Tanganyika? ndio kwanza unatoka jela!acha kutuzuga hapa. Ungekuwa na maisha mazuri usingekuwa na muda wa kutetea uovu!
 
Pablo Escobar

Member
Apr 17, 2008
21
0
Uovu uko hapa hapaTanganyika. watu meiba nabilioni ya fethe from our own Benk and from our owen people. Watu wanaiba kura kila uchaguzi. Watu wameiba hela ambazo zilikuwa zimesamehewa kuwa ni madeni ta Tanzania watu wameuza mbuga zetu. Watu wana pandishiwa bei ya vitu kila siku na hali ya maisha kwa mtu wa chini nchini inazidi kuwa mbaya. huu ndio mimi nauona wizi especially when u still from ur owen people.
 
Pablo Escobar

Member
Apr 17, 2008
21
0
Na wewe Mama tulia tu huko ulipo coz ukija bongo utakufa kwa njaa. Let me guess, u live in an apartment that u rent ant una gari la mkopo and u think that is life? POLE sana
 
Pablo Escobar

Member
Apr 17, 2008
21
0
Kwa mtu yeyote out there, GET RICH OR DIE TRYING. That is the only way of life. U got money, u r somebody. U aint got shit u r nobody. AND THAT IS THE BOTTOMLINE
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
7,237
2,000
Escobar? Watu wamekaa kimya si kwa sababu wanakuunga mkono!Mwizi ni mwizi ni mwizi, full stop. Hakuna glamour.
 
Njimba Nsalilwe

JF-Expert Member
Mar 23, 2008
252
0
Kwa mtu yeyote out there, GET RICH OR DIE TRYING. That is the only way of life. U got money, u r somebody. U aint got shit u r nobody. AND THAT IS THE BOTTOMLINE

Pabro

Money isn't everything in life.

Yes if you have money people tend to respect you, or in otherway as you say you become somebody. But the question is how long the money can keep you somebody?

Take example of what is happening in Tanzania with Mafisadis saga. I will single point Andrew Chenge, not mentioning the Regent Maboutou Sese Seko, without forgetting Lowassa, and others.

I tell you, even if these guys struggled there whole life looking for money, so that can become something in the society. But I assure you that they are now regretting of what is going on. If it was possible to restart life, these guys could have opted otherwise.

Remember Maboutou died in exile, was he somebody there? I understand buried with ten people only, can you imagine?

Can you compare with our Father of Nation even if did not have money?

Think twice, money isn't everything in life and isn't even source of happiness.

Njimba
 
Mgerwa

New Member
Nov 14, 2007
1
0
Jamaa ni Mwizi kama Wezi wengine na sidhani kama kuna nchi inayo ruhusu wizi au mtu anae kubaliana na wizi na kama yupo basi nawapa pole wananchi wake. Huyu jamaa hawezi kwenda kujitetea kwamba Wazungu walitunyonya hivyo analipiza kisasi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom