Ila mwambie asife moyo bado Membe anaweza kuwa raisi wa Tanzania, kwa sababu watanzania tuna ushabiki wa kijinga na wa vyama, ukichanganya na ukosefu wa Elimu kwa watanzania wengi (USISAHAU KWAMBA MTAJI MKUBWA WA CCM, ni ujinga wa watanzania. Hata hivyo Membe ili agombee, si mpaka apitishwe...