JK na Wajumbe wa Nyumba Kumi Ubungo Plaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na Wajumbe wa Nyumba Kumi Ubungo Plaza

Discussion in 'Jamii Photos' started by Sooth, Jul 8, 2011.

 1. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 2,630
  Likes Received: 1,744
  Trophy Points: 280
  270340_1790287529795_1617820758_31512875_3220705_n.jpg

  JK ktk mkutano na wajumbe wa nyumba 10-Ubungo plaza.
   
 2. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,784
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Aaah! Huko ndiko alikotolea hotuba kwa umma wa-Tz ya mwezi June?
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Nilikwenda pale jana yaani Magamba wamejaa kibao
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du amewakalisha chini
   
 5. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,510
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Kwa nini walikalishwa chini? Ubungo Plaza hamna viti vya kuwatosha hao watu?

  Tiba
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Siku hizi Bongo hamvai viatu, au ndo kujivua kenyewe. ha ha ha ha
   
 7. L

  Leornado JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pengine wamesave pesa ya kukodisha viti, kumbuka kuna kumbi ukikodi viti unalipia ziada. Huu ni udhalilishaji, angekaa nao chini ndio tumwelewe.
   
 8. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,212
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wamefuata jero jero!
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Hahaahaa!
  Udhalilishaji mwingine bana!
  Wazarauliwa wa magamba.
   
 10. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,898
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
 11. M

  Maengo JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wenyewe wanakaa chin, kwenye shule zao za kata ndo wataweka madawati?
   
 12. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,759
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Aibu!yaani unatoka kwako koooote kwa kujigamba kuwa unaenda ongea na rais alafu mnakalishwa chini hivi,wallahhhhh nisingekubali kukaa na kumsikiliza
   
 13. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndio hali halisi ya jinsi wanavyothaminiwa
   
 14. G

  Gurti JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naona labda alijisahau akadhani wajumbe wote wanapenda kukaa chini kwa mujibu wa imani yao.
   
 15. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Angejiunga nao, yeye ndo alitakiwa kukaa wa kwanza hapo ndo tungejua imani kiboko au haki sawa kwa kila Mtanzania.
   
 16. T

  TAIFALANGU Member

  #16
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo mlinzi wa nini? hapo mbele? imani hakuna?
   
 17. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,420
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wamezidi ushabiki usio na faida wakae chini tu, ikiwezekana hata kwa matope wakae.
   
 18. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,966
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Yani hawa jamaa wanavyopenda sifa kiasi hapo hawajali kudhalilishwa walikofanyiwa! Mawazo yote yapo kwenye ka takrima ka buku chache walikoahidiwa! Wanaendekeza njaa hawa hawana mfano. Ukifika ktk maeneo yao wanaomba rushwa uchwara kiasi unawaonea huruma ilochanganyikiwa na aibu. Wengi wao hawajishughulishi na shughuli za kueleweka hata kama kubrashi viatu, wao wamebaki kuzunguka huko na huko ktk maeneo yao na kutishia watu na kujipatia chochote kupitia vikao butu vya Magamba na kuonea majirani zao!!
   
 19. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,182
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Naanza kushawishika ccm ina wanachama mapunguani aiseee!~!!!!!!!
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,668
  Likes Received: 2,734
  Trophy Points: 280
  Yako wapi sasa, uko high table chini watu wako peku, loo, udhalilishaji gani huu sasa, kanga na shati vinakutoa utu wako. lakini sawa maisha ni magumu watafanya nini hawa inabidi wapokee tu.
   
Loading...