Recent content by Tagawa Mwakitombile

  1. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania DRC Updates: Kalemie, risasi zaanza kulindima

    Hii haijawahi kuwa solution tatizo la viongozi wengi wa Afrika ni UBINAFSI. Sudan waliigawa je pametulia?
  2. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania DRC Updates: Kalemie, risasi zaanza kulindima

    Pamoja na madhaifu ya Jeshi la Congo ila Kigali haiwezi kukwepa lawama kwamba wako nyumba ya M23. Mara kadhaa iliwahi kuripotiwa kwamba Jeshi la Rwanda limekuwa likipambana bega Kwa bega na M23 dhidi ya Jeshi la Congo.
  3. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania DRC Updates: Kalemie, risasi zaanza kulindima

    Nahisi mtoa comments amemaanisha baada ya M23 kufurushwa na Jeshi la DRC pamoja na vikosi vya Umoja wa Afrika mwaka 2013, kundi la M23 lilirudi tena rasmi mnamo mwaka 2022. Hapo ni miaka kama 9 hivi Sasa Kwa serikali ambayo ipo makini na suala la ulinzi na usalama hiyo miaka ilitosha kabisa...
  4. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mji wa Uvira uko mikononi mwa wa waasi wa M23

    Asante mkuu Kwa hili ila tutafakari kidogo, kwanini mwaka 2013 M23 walivyotandikwa wengi wao walikimbilia Rwanda na baadhi Uganda!?. Baada ya miaka kadhaa kupita hili kundi lilikuja Kwa nguvu zaidi likiwa na vifaa vya kisasa, mbinu zaidi nk na huo moto wanauendeleza Hadi sasahv. Lakini kama...
  5. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mji wa Uvira uko mikononi mwa wa waasi wa M23

    Mimi huwa najiuliza kwanini Kwenye kusaini makubaliano ya Amani hayawi baina ya Congo Vs AFC/M23 !? Bali unakuta ni Congo Vs Kagame !?.
  6. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali cha ajira Mwaka 2024 hadi leo 2025

    Tambua hao wenye kozi nyepesi ndio waliokufundisha wewe Hadi ukaweza kusoma na kufaulu hizo kozi unazoziita ngumu.
  7. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Ujifunze kutunza Siri haikuwa na haja yaku attach hii document humu.
  8. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania HEDGE WITCH: Uchawi usiopendwa zaidi duniani

    Huu uchawi wakindezi sana, mchawi anaweza toka kagera akaenda kumjambia tu mtu yupo Songea.😂😂😂
  9. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule zenye Kidato cha Sita zinazotoza ada chini ya 900,000 mchepuo wa HGL

    Nakubaliana na wewe hizi shule za ada zake ni nafuu sana, pia kuna shule inaitwa Ruhuwiko high School ipo chini ya JWTZ mkoa wa Ruvuma.
  10. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hili jambo linafanyika kimya kimya huko Tamisemi?

    Uko sahihi mkuu.
  11. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Mkuu sikuhizi sidhani kama kunashule binafsi ambayo inaajiri mtu ambaye siyo mwalimu by professional, maana nasikia huwa kuna ukaguzi na ufuatiliaji kweli. Nakushauri anzisha tuition center.
  12. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Roho Saba?

    Mwamba sasa hivi ni Afisa wa JWTZ ngoma yake ya mwisho inaitwa Focus.
  13. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    😂😂 Hiyo dhambi wanairithi toka kwa Adam na Hawa na siyo kwa wazazi wa huyo mtoto.
  14. Tagawa Mwakitombile

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    😂😂
Back
Top Bottom