Msaada: Shule zenye Kidato cha Sita zinazotoza ada chini ya 900,000 mchepuo wa HGL

Ruka kama Private Candidate mpunga unaobaki fanya mambo mengine.
 
HV enaboishu vip Apo Arusha ada yake beo gani kwa sas maan nilikula olevel pale 2004 nilihitimu
 
Jaribu kucheck shule za jeshi

Jitegemee
Makongo
Airwing

Hizi ni shule nzuri sana zina nidhamu ya malezi na gharama zake ni nafuu haziwezi kuzidi 900k
Nakubaliana na wewe hizi shule za ada zake ni nafuu sana, pia kuna shule inaitwa Ruhuwiko high School ipo chini ya JWTZ mkoa wa Ruvuma.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom