Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 463
- 1,058
Naomba kujua alipo kwa sasa huyu mwamba wa hip hop.alitamba na ngoma zake mbili: nakupenda hip hop na waite polisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu.Alienda jeshi ..na akaacha mziki moja kwa zote
moja ya ngoma zake za mwisho ni nakupenda hip hopAhsante mkuu.
'Penzi pazia jeusi najuta kulifunua mwanga uloingia, bora Giza, Mimi sikio la kufa nipeeni dawa'...!
Ni mrembo flani, mwenye urefu wa wastani............
Ngoja kwanza nikaskize hili nishalimiss..!!
moja ya ngoma zake za mwisho ni nakupenda hip hop
Song za zamani zilikua zinakula muda kweli
KiajeSong za zamani zilikua zinakula muda kweli
Ina dakika 4.48 tofauti na za sasa zikizidi ni dakika 3.30 hiviKiaje
Ila zilikuwa nzuriIna dakika 4.48 tofauti na za sasa zikizidi ni dakika 3.30 hivi
Mwamba sasa hivi ni Afisa wa JWTZ ngoma yake ya mwisho inaitwa Focus.
Nyota ngapi ? Dah raha sanaMwamba sasa hivi ni Afisa wa JWTZ ngoma yake ya mwisho inaitwa Focus.