DRC Updates: Kalemie, risasi zaanza kulindima

DRC Updates: Kalemie, risasi zaanza kulindima

Marekani ni kubwa kuliko DRC lakini hakuna upuuzi kama huo.Au Algeria ni kubwa kuliko DRC
Serikali hizo zina resources za kufika kila kona ya nchi. Pia nchi kama Algeria japo kubwa, watu wengi wanaishi eneo dogo tu la nchi
 
Nahisi mtoa comments amemaanisha baada ya M23 kufurushwa na Jeshi la DRC pamoja na vikosi vya Umoja wa Afrika mwaka 2013, kundi la M23 lilirudi tena rasmi mnamo mwaka 2022.

Hapo ni miaka kama 9 hivi Sasa Kwa serikali ambayo ipo makini na suala la ulinzi na usalama hiyo miaka ilitosha kabisa kuunda Jeshi IMARA la kulinda mipaka yake.

Kama utakumbuka Hawa M23 baada yakupigwa walikimbilia Rwanda na Uganda walienda kujiorganize na kurudi Tena mwaka 2022 Hadi Sasa wamezidi kuwa tishio.
Kansa ikishasambaa mwilini hakuna dawa ya kutibu, ni kusubiri siku ya kutwaliwa tu.
 
Hao nao hata wakichukua nchi, wataanza ufisadi na waasi wengine wataibuka kuwapiga. Futile cycle. Hiyo nchi zinatakiwa kutoka nchi nyingi, tano, kumi au 20 hadi 26 kulingana na idadi ya majimbo yao.
Hii haijawahi kuwa solution tatizo la viongozi wengi wa Afrika ni UBINAFSI.

Sudan waliigawa je pametulia?
 
Kuna kosa kubwa walilofanya ndo matokeo yake na haiwezi kukaa ikaisha.
Alipokuwa anagombea, aliomba hawa M23, ambao kipindi hicho walikuwa CNDP, kuwa ndo wataunda Republican Guard. Watu wakachaguliwa, na batallion 3 zikawekwa standby.

Katika uchaguzi huo, Moise Katumbi, ndo alikuwa mshindi, ila kimpango akapokonywa. Rais alivoapishwa, akawageuka. Ndo hapo mambo oyote yalipoanzia.
Fayulu alishindwa?
 
Nahisi mtoa comments amemaanisha baada ya M23 kufurushwa na Jeshi la DRC pamoja na vikosi vya Umoja wa Afrika mwaka 2013, kundi la M23 lilirudi tena rasmi mnamo mwaka 2022.

Hapo ni miaka kama 9 hivi Sasa Kwa serikali ambayo ipo makini na suala la ulinzi na usalama hiyo miaka ilitosha kabisa kuunda Jeshi IMARA la kulinda mipaka yake.

Kama utakumbuka Hawa M23 baada yakupigwa walikimbilia Rwanda na Uganda walienda kujiorganize na kurudi Tena mwaka 2022 Hadi Sasa wamezidi kuwa tishio.
Sasa hivi M23 anashiriliana na Kabila,na huo mwaka 2013 aliyekuwa raisi ni Kabila,hapo ndo utajua mahesabu ni magumu sana ya DRC,jana nilikuwa na Mcongoman anayetokea Bukavu akawa ananiambia ni bora wachukue tu nchi yote maana kwa sasa Bukavu ni kama imefungwa,mabenki hayafanyi kazi,na kodi anayekusanya kwa sasa ni M23
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom