Recent content by taekwondo

  1. taekwondo

    Kurudi nyumbani na kujipanga upya

    Nyumbani ni yupo mama na mdogo wangu tu.mzee alishatangulia mbele za haki. Kiukweli bond ya mke na familia yangu si nzuri sana Ila mpaka nimewaza hivyo nimeumia sana maji naona yapo shingoni. Ila asante kwa ushauri wako mkuu
  2. taekwondo

    Kurudi nyumbani na kujipanga upya

    Yes nafasi ipo
  3. taekwondo

    Kurudi nyumbani na kujipanga upya

    Habari wana JF. Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa...
  4. taekwondo

    Cricfy Tv and onstream app

    Habari wakuu!!Wanasema kizuri kula na wenzio!! Kama wewe ni mpenz wa kustream online hizo app mbili hutakiwi kukosa kwenye list zako Onstream hii ni kwaajili ya kustream movie na series ni app moja nzuri sana na unaweza tumia kwa android or smart box yeyote ya kusupport android..Binafsi nilikua...
  5. taekwondo

    Tusanue apps zipi unatumia zinakurahishia kwenye nyanja tofauti

    Asante kwa app ya onstream iko poa sana,nimeipenda user interface yake. Kuna nyingine inaitwa Moviebox ni nzuri sana ingawa inahitaji kulipia.
  6. taekwondo

    Nahitaji kubadilisha Sport rims za gari yangu

    Nashukuru kwa feedback yako mkuu
  7. taekwondo

    Nahitaji kubadilisha Sport rims za gari yangu

    Habari zenu wana JF. Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims. Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or mbili kwa mwaka. Nasikia hizi sport rims za dukani huwezi tumia katika route ndefu.Je kuna ukweli...
  8. taekwondo

    Mlipuko huu wa Rooters za WIFI kwa kampuni za Simu ipi ni nzuri Kwa matumizi nyumbani?

    Mimi natumia vodacom nyumbani ambayo ni ya 4G 20Mbps,na ofisini natumia airtel 5G ambayo ni 30Mbps.. Kiukweli zote zipo vizuri sana,ingawa nimeipenda Airtel kwakua ina powerbank umeme ukikata unaweza tumia mpka 7hrs bila kuzima.
  9. taekwondo

    Linapokuja suala la filamu, nauheshimu sana Mkoa wa Tanga

    Inasikitisha kuona movie za wenzetu za miaka ya 70 huko tunazipata mpaka sasa,ila shamba kubwa ya mwaka 95 hatuna nakala yake mitandaoni mpaka leo.kizazi cha elfu 2000 hawawezi elewa mapinduzi ya filamu zetu,mpaka tulipofikia sasa
  10. taekwondo

    Samsung s22 Ultra vs iPhone 14 Pro Max

    Umeongea sahihi kabisa mkuu..nina s22 ultra na mke wangu ana 14 pro max..hicho kitu nimekiona
  11. taekwondo

    Tatizo la network kwenye Samsung s21 ultra 5g

    Ingia playstore,nenda kwenye about phone then Device certification...Simu iliyopass google certificate lazima iandike "Device is Certified" Simu isipokuwa certkfied,kwanza app zote za kibank na mobile money haziwezi fanya kazi. Refurb nyingi zina hizi shida na hizo used za Dubai Sent using...
  12. taekwondo

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Mcheki agent aliyekuunga au wasiliana na watu wa customer service
Back
Top Bottom