Samsung s22 Ultra vs iPhone 14 Pro Max

Samsung s22 Ultra vs iPhone 14 Pro Max

Product za kampuni ya Apple ni nzuri sana kuliko za kampuni zingine.

Simu za iPhone zina ubora mkubwa ikiwemo sauti, hata laptop zao (MacBook) zina ubora kuliko brand zingine bila kusahau ear phone zao.

Mimi nilikuwa mtumiaji wa iPhone, mwaka 2021 nikahamia kwenye Samsung series za Note ila nitarudi kwenye iPhone sababu ya kuanza kutumia charging system ya C Type.
 
Iphone Vitu vyao ni Bora na nzuri kuanzia camera ukaaji wa chaji sound na system process kutokana na model Gan unatumia

Binafsi sijawahi vutiwa na iphone hata Kidogo na Wala Kuja Kutumia hii kutokana na ishu yake kuwa geti Kali sana
 
iPhone za miaka ya nyuma hizo. iPhone 14 Pro Max inatunza sana chaji kama tu hizi Infinix za laki 3. Kwa mfano
*Kwenye kuperuzi mtandaoni iPhone 14 Pro Max inadumu na chaji kwa masaa 15 na dakika 2 wakati S22 Ultra inadumu masaa 11 na dakika 20
*Kwenye kuangalia video iPhone 14 Pro Max inadumu masaa 21 na dakika 10 wakati S22 Ultra inadumu masaa 14 na dakika 43
*Kwenye kucheza games iPhone 14 Pro Max inadumu masaa 7 na dakika 13 wakati S22 Ultra inadumu kwa masaa 5 na dakika 53
*Standby time ya iPhone 14 Pro Max ni masaa 156 wakati standby time ya Samsung Galaxy S22 Ultra ni masaa 109.

*Ikiwa unataka flagship ya Samsung inayotunza chaji kama iPhone 14 Pro Max basi nunua Samsung Galaxy S23 Ultra na sio S22 Ultra.

Sikuhizi iPhone anawakimbiza sana kwenye suala la ukaaji chaji upande wa flagship.
Umeongea sahihi kabisa mkuu..nina s22 ultra na mke wangu ana 14 pro max..hicho kitu nimekiona
 
Back
Top Bottom