Recent content by Taejov

  1. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tayar washaweka mkuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Shukran Sana mkuu umetisha Sana muongozo wako utanifaa sana
  3. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Gharama zimepanda Sana ule mji km huna hela now Bora usosogee unless uwe mwenyeji sana
  4. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Shukran Sana mkuu....nmeuliza sabab nlishawah enda oral Moja dodoma kidogo niende off budget mkuu...nlienda migiro kumbe ni town saiv nataka niwe makini kbs nijue Kila kitu
  5. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu nmeitwa interview mzumbe, sio mwenyeji wa moro natokea dar tu hapa. Naomba mwenye uzoefu au alieosma pale anipe utaratib wa lodge na usafir adi kule umekaaje na niwe na bajet Kama ya sh ngap ya kusavaivi Izo siku mbili au moja Kama written aitoenda poa...natanguliza shukran wakuu
  6. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kama wewe hujasoma chuo icho ktk elimu yako jitahid ufatilie usisubir simu tuu Kama week tatu zimepita nenda kahoji uanze pata ata za kujikimu
  7. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wamenichinja land officer
  8. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Anytime but baada ya mwezi Anza kufatilia kwa makini pdf Kama sisi jobless wenzako
  9. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna wenye selected for oral na wengine adi placement kwa web ila kwa app kupo blank kupo.......nlichomuelewa yule mchizi alianzisha iyo debate ni kwamba ukiona kwa app wamesema not selected for ORAL na ni web uliitwa na ukafanya oral bas ndio ulifel..japo mpk Sasa SIJAONA mtu akisema kitu kama...
  10. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna waliofika oral ila app iko blank adi saiv baada ya update???
  11. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu wewe jipange tuu vizur na next interview adi utakapoitwa kazini...ata wakiweka huo mfumo malalamiko yatakua meng Zaid mtu akijiona database na haitwi adi mwaka unaisha ni heri hivi kiupofu watu wanapanbana wanatoka interviews zijazo
  12. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Unayoyasema una uhakika nayo mkuu??
  13. T

    JamiiForums Tanzania Usajili wa jina la biashara na kampuni (BRELA)

    Kazi na brela yaan wewe nakuletea chet tu
  14. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nina kipengele Kiko pending Cha wizara
  15. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tunapeana taarifa kwa lengo la kupeana moyo na kujiandaa kisaikolojia... kuuliza sio ujinga ila Kama haifai kujibiwa nashukuru
Back
Top Bottom