Bless up,I appriciate it bro ,, thank you so much
Bless up,I appriciate it bro ,, thank you so much
Naomba nikujibu naimani sijachelewa....ninamdogo wangu amepata hizi kazi .... Kwenye oral hamna kuingia na hizi aid lakini wao waliambiwa wafundushe swali la 2 baada ya tell us about your self .Wakuu hivi kwa wale walimu waliofanikiwa kufika oral interview
Kwa upande wa teaching aid ,, si unaweza kuianda nyumbani tu ukaitumia wakati wa presentation ??
Au hairuhusiwi kufanya hivi ??
For this, Ajira ni ujinga Bora kujiajiriNaomba nikujibu naimani sijachelewa....ninamdogo wangu amepata hizi kazi .... Kwenye oral hamna kuingia na hizi aid lakini wao waliambiwa wafundushe swali la 2 baada ya tell us about your self .
Kabla hawajaingia kwenye hiyo oral walipewa makaratasi waandike topic yoyote watakayoiwasilisha kwenye ream paper...
Unafundisha kwa kuimagine upo darasani na wale panelist unawachukulia kama wanafunzi.
Jitahd kufanya hivo pia jtahidi body language, jtahidi luwainvolve wale panelist wawe kama wanafunzi wako ...mfano unaanza can you tell us what we learned last time? Enhe Asha oh nice Victor that's great so unaendelea...
Naimani nimefanya kitu...try to be funny, engaging and taja majina mengi tofauti kuonesha unawajua wanafunzi tofauti wengi usirudie majina hayohayo...
Database ni wengi jamani kuitwa ni ngumumsaada kwa yeyote anaejua kuhusu vijana walio TRA DATABASE kama kuna uwezekano wa kuitwa au lah.
Safi sana.Naomba nikujibu naimani sijachelewa....ninamdogo wangu amepata hizi kazi .... Kwenye oral hamna kuingia na hizi aid lakini wao waliambiwa wafundushe swali la 2 baada ya tell us about your self .
Kabla hawajaingia kwenye hiyo oral walipewa makaratasi waandike topic yoyote watakayoiwasilisha kwenye ream paper...
Unafundisha kwa kuimagine upo darasani na wale panelist unawachukulia kama wanafunzi.
Jitahd kufanya hivo pia jtahidi body language, jtahidi luwainvolve wale panelist wawe kama wanafunzi wako ...mfano unaanza can you tell us what we learned last time? Enhe Asha oh nice Victor that's great so unaendelea...
Naimani nimefanya kitu...try to be funny, engaging and taja majina mengi tofauti kuonesha unawajua wanafunzi tofauti wengi usirudie majina hayohayo...
Unataka mpate ajira wachache ?For this, Ajira ni ujinga Bora kujiajiri
Hongersa sanaHuu uzi umeza watumishi wengi wa umma nikiwemo mimi hapa
Wewe mboni umeajiriwa Serikalini halafu unataka kuwaambukiza madogo ujinga toka huko Serikalini kajiajiri km unaona ajira Serikalini ni ujingaFor this, Ajira ni ujinga Bora kujiajiri
Ameshaajiriwa kitambo sana huyo si mwenzakoUnataka mpate ajira wachache ?
Hiyo hiyo nafasi unayoitaka na sisi tunaitaka kddk.
Wenye bahati zao mixer kupenyezewa Bahasha za Khaki zenye matemate km ile aliyopasiwa Mrisho MPOTO na kupigiwa assist moja ya nguvu kutoka kwa Mama, lazima wataitwa tu, yaan huhongi hupati kazi hupati ajira Watoto wa Mama Ntilie sijui itakuwajeDatabase ni wengi jamani kuitwa ni ngumu
Unayoyasema una uhakika nayo mkuu??Wenye bahati zao mixer kupenyezewa Bahasha za Khaki zenye matemate km ile aliyopasiwa Mrisho MPOTO na kupigiwa assist moja ya nguvu kutoka kwa Mama, lazima wataitwa tu, yaan huhongi hupati kazi hupati ajira Watoto wa Mama Ntilie sijui itakuwaje
Database ndo upenyo wa rushwa tujitahidi tupite ile ya kwanza hii reserve hamna kituWenye bahati zao mixer kupenyezewa Bahasha za Khaki zenye matemate km ile aliyopasiwa Mrisho MPOTO na kupigiwa assist moja ya nguvu kutoka kwa Mama, lazima wataitwa tu, yaan huhongi hupati kazi hupati ajira Watoto wa Mama Ntilie sijui itakuwaje
Kiongozi upo mkoa gani ukiendelea na majukumu ya utumishi wa umma ?Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Osekweli utumishi mko makini mnawakanda mpaka shoemakers.....
KWani watz waliopo PSPR wanatoka wapi ?Wenye bahati zao mixer kupenyezewa Bahasha za Khaki zenye matemate km ile aliyopasiwa Mrisho MPOTO na kupigiwa assist moja ya nguvu kutoka kwa Mama, lazima wataitwa tu, yaan huhongi hupati kazi hupati ajira Watoto wa Mama Ntilie sijui itakuwaje
Mnapeana imani potofu. Mimi nina mjomba wangu alikwenda kwenye taasisi X akitokea database.Database ndo upenyo wa rushwa tujitahidi tupite ile ya kwanza hii reserve hamna kitu
hapo ndo sjaelewa sasa halafu ni muhimbili.labda viatu vya manesi na madoktaWhose shoes are they going to make ?
Ose