Recent content by Tabrett

  1. Tabrett

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wanaagizwa kupeleka matofali ikiwa kama adhabu wanapofanya makosa shuleni

    mie nadhani adhabu zinazotolewa shuleni ni sehemu ya mafunzo kwaajili ya kumuandaa mwanafunzi na kuyakabili maisha yake ya mbeleni,yaani ni sehemu ya kujifunza stadi za kazi,akichelewa akapewa adhabu ya kulima shamba hapo ni sawa maana anajifunza kulima,yawezekana nyumbani kwao hata hajawahi...
  2. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku ARV's kuingizwa nchini, zinasambaza UKIMWI

    Hujui unachokiongea
  3. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya simu wakati wa mvua yanaweza kuleta madhara endapo radi itapiga?

    umemaliza kila kitu,ambaye hata elewa hapa basi hatokaa aelewe maisha yake yote
  4. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

    Haitokei ajali hapo hicho kizimba kikachanika samaki wakapotelea ziwani?uimara wa hizo nyavu ukoje?
  5. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

    Huo ndio ukweli mchungu,kikubwa ni kuhustle zaidi na wala sio kujinyima zaidi
  6. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Network marketing

    [emoji38][emoji38]
  7. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Sadaka,fungu la kumi Kuna mahala umeyumba
  8. Tabrett

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kumpost...

    [emoji28]
  9. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Simu kutoka kwa Afisa Utumishi TAMISEMI

    Huo utapeli mbona upo toka kitambo sana,mwambie asitume na akimpigia tena amchane makavu,nshashuhudia watu wawili wakipigiwa simu za hivyo,uzuri wakareport kwa wakuu wao wa idara na ikajulikana kuwa ni utapeli Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania, Naandika kwa Uchungu Mkubwa

    Njia ya muongo ni fupi sana kama mkia wa sungura Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Watoto na Vijana 300 hufariki kila siku kutokana na UKIMWI

    Hahahahaaaaaaa
  12. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limenikabidhi simu yangu iliyopotea leo. Hongera Polisi.

    Siku hizi smart phone zinapatikana kiurahisi mno,bila hata longo longo ni kulipia tuu hela ya utafutaji then unaitiwa simu yako!
  13. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Kuangamiza panya

    Wanyime chakula watahama wenyewe!
  14. Tabrett

    JamiiForums Tanzania FRIDGE NDOGO INAUZWA.

    Hata mie yangu yanaona hivyo hivyo,mwaka mmoja tuu!sidhani
  15. Tabrett

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Vipi hali yako ya pua, hupati mafua ya mara kwa mara.
Back
Top Bottom