Serikali ipige marufuku ARV's kuingizwa nchini, zinasambaza UKIMWI

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,626
Ifike mahali hizi dawa zipigwe marufuku tu maana wanaomeza hizo dawa wanaeneza huo ugonjwa kwa maksudi kabisa

Arvs ndo sababu ya kuendelea kuwepo kwa huu ugonjwa nchini dawa zililetwa ili watu waendelee kupiga hela lakini sidhani kama ni solutions ya huu ugonjwa

Madhara yake ni mabaya kuliko hata faida maana kwanza mtu akishaanza kunywa akiacha anakufa yaani ni uraibu mtupu kama dawa za kulevya tu

Kwamba wao wanatupenda sana walete arvs ili ukimwi uishe?Mnajua siasa za misaada nyie?Wanaleta arvs ili tatizo liweze kuendelea kupiga hela

Na wenye hiv wanaomeza dawa nao wanasambaza tu kwa maksudi maana wanajua watakufa yaani ni tabu tupu
 
Ifike mahali hizi dawa zipigwe marufuku tu maana wanaomeza hizo dawa wanaeneza huo ugonjwa kwa maksudi kabisa

Arvs ndo sababu ya kuendelea kuwepo kwa huu ugonjwa nchini
Mkuu,hii ni akili yako?Be careful what you wish for.Ukienda kula au kuliwa unashikiwa panga,Condom si zipo?Umenishangaza mpaka natamani mke wako awe na Ngoma ili nione utafanyaje.
 
Ifike mahali hizi dawa zipigwe marufuku tu maana wanaomeza hizo dawa wanaeneza huo ugonjwa kwa maksudi kabisa

Arvs ndo sababu ya kuendelea kuwepo kwa huu ugonjwa nchini
Ebu elezea vizuri zaidi ni kwanamna gani ArV's zinachangia kuongezeka kwa maambukizi..??
Yaani unamaanisha kwamba wanao meza ArV's wana ambukiza wengine kwa makusudi..!! Sasa ni baada ya kumeza ama kabla ya kumeza..🤔
 
Ifike mahali hizi dawa zipigwe marufuku tu maana wanaomeza hizo dawa wanaeneza huo ugonjwa kwa maksudi kabisa

Arvs ndo sababu ya kuendelea kuwepo kwa huu ugonjwa nchini
Huu utafiti uliufanyia wapi?

Hii mada siyo size yako kabisa,kana unaweza ifute.
 
Back
Top Bottom