Natamani kumpost...

Natamani kumpost...

Mkuu Mimi nimekuuliza tu kwa mia nzuri lakini umeleta mipasho,huenda ndo maana jamaa alikuacha maana una maneno ya shombo sana, na huyo ulienaye ukidumu naye kwa miaka miwili nitakupa pesa,

Wewe una nyota ya single mother hadi kiama ya miwili,

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Aliyenae anamega tu kisela Nani anaweza kuishi na single mother asiye na akili
 
Nina hakika mimba yako imeingia jana usiku, utatusumbua sana mwezi ujao mana tayar ushaongeza MremboJR mwingine mwilini.
 
Mtoa madq na hilo jamaa lako wote mna akili za kitoto. Kaeni chini myamalize mfunge ndoa. Huo ujinga mnaoufanya mnaharibu ustawi wa mtoto mliyemzaa. Pia punguza utoto sijui mwanaume wa Sasa ni handsome kuliko yeye, huo ni utoto. Mme Bora au baba Bora sio sura au six pack ni tabia upendo na kujielewa

Nenda jishushe muombe radhi halafu grow up. Umeshazalishwa hujui kuwa mtoto anahitaji malezi Bora ya wazazi wote? Hayo ma DP na maujinga ujinga yatakusaidia nini. Na elewa hata huyo uliyenae sasa anakuchezea tu hakuna mtu mwenye malengo na lidada lililozalishwa huko na m/ ume wake yupo. Anamega tu huyo

Stupid girl
Kiti cha motofact

Kingsmann
 
Back
Top Bottom