Unakuwaje chama kikubwa cha upinzani na unaomba nchi, then unatoa excuse kwa wananchi 'confidently' kuwa ccm inawanunua. Kwa mtazamo mpana ni discredit kubwa chama kinachoomba uongozi wa nchi. Tunachoweza jiuliza mkipewa nchi, nyie si mtauza hata Mlima kilimanjaro? Siioni tofauti yenu na CCM
Jay moe-story 3 & ludacris-runaway love.
Ufanano & utofautiano.
Prof-piga makofi & sean paul-make it clap-busta.
Ufanano & utofautiano.
Yote ni sanaa na muziki mzuri.
Hizi 'sistem' zinategemea sana na 'sponsa'. Kwa sasa 'sponsa' ni mtu wa kazi. Heshima ipo. Ukienda mbali zaidi 'gavamenti' ni kama mzazi kwenye familia, mzazi akiwa imara inazaa familia imara. 'gavamenti' ya sasa inaheshimika sana. Ilifika mahala kila mtu ni kambale. Zile lugha 'unanijua mimi ni...
Maswali ya kujiuliza.
1. Umeishi nae muda gani? Kwa muda wote huo hukugundua kama anacho hcho kipaji au anajihusisha na masuala hayo? maana kupata deal ya uigizaji haiji overnight.
2. Wewe kwako alikua huru kiasi gani? Maana kauli niliogopa kukuambia inastua.
Ushauri.
Fanya research juu ya hyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.