NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,526
- 3,563
SUGU na HAYAKUA MAPENZI- haikosekani ktk playlist yanguThis is my top 5
Sugu -Hayakuwa
Eminem-Mocking bird
Jay moe-story 3
Prof Jay-Zali la mentali
Eminem-Stan
Bonus in Mikasi ya Ngwair
SUGU na HAYAKUA MAPENZI- haikosekani ktk playlist yanguThis is my top 5
Sugu -Hayakuwa
Eminem-Mocking bird
Jay moe-story 3
Prof Jay-Zali la mentali
Eminem-Stan
Bonus in Mikasi ya Ngwair
- Nishike mkono 😀arasa
- History :Jay z
- Toy solder :Emminame
- where is love: Black eyed peace
- i see you when you get there : Colio
Its true kwamba Alama ya rapa mzuri ni uwezo wa kughani mashairi ya kupendeza..,lakini Alama ya Rapa mkali ni uwasilishaji wake wa visa,matukio,adithi,katika njia ya kupendeza na kumvutia msikilazaji kuendelea kusikiliza nyimboo..bongo kuna nyimbo kwa upande wangu zina adithi,story za kunivutia sana..kwa uchache nataja my top 5,,Nazi in
1: Diplomats MASELA TUMEJIPANGA
2: Chindo STORY YA NYOKAA
3:Jay Mo STORY 3
4:fid q RIPOTI ZA MTAANI
5:JCB UKISIKIA PAAH
!
!
Vipi Chemsha Bongo ya Prof J?
Hilo jina unalotumia limenivutia. Nimesoma shule hiyo miaka kati ya 1997 na 2003
Morogoro..hah ndo nipo mitaa hiyoo
kazingua Sana hahaStory telling songs?
-Kaveli-
four stars now panaitwa MoTown!
!
Palikuwa home kuanzia miaka ya mwanzoni ya tidini hadi miaka ya elfu mbili na kumi ya mwanzoni..... Nimekaa sana kingalu hapo Ganga livingstone four stars Yani noma rock garden eeh Bana eeh
sema tu story uhalisia una mushkeli..dingi toka kuwa katibu mkuu wizara ya fedha had kuwa vile ni alfu lela ulelaDingi mshenzi sana,
Baada ya kupata lidandasi akopoteza network kwa ubongo,
Anafukuzia ma'housegirl,
four stars now panaitwa MoTown
four stars now panaitwa MoTown
