Recent content by TaboraONE

  1. T

    Nimrudie Tena?

    Nikuambie ki2 sicy, mara nying watu huwa hapenda sana ushaur mwepes koz tayar huwa unaelekea kwenye mawazo yake hata kama mbelen unaweza kuleta madhara. lakin amin kuwa ushaur mgum ni mzur na unaleta msimamo thabit ktk maisha ya binadam....hebu chukua tym jiulize, tangu mmeachana ni muda gani...
  2. T

    Hivi Ni kweli alipokuja Mandela Tz alipata mapokezi makubwa kuliko Pope John Paul 2 au Obama?

    Watz mnatakiwa msiwe wepes wa kukarir neno mojamoja na kubadilisha maana halis ya kilichosemwa. uvunjaj wa record aliomaanisha Rais c tu wa wing wa watu bali ni umat wa watu uliojitokeza ilihali kulikua na mvua inanyesha kipind hcho, hii ilimaanisha kuwa wakat Mandela anawasili Tz watu weng...
  3. T

    Siungi mkono hotuba ya Rais Kikwete, SA

    inaonekana mtoa mada alibase kwenye kusikiliza la kumkosoa Mheshimiwa na c kuelewa maana halis ya hotuba ile. pia c lazma kwenye kila kitu uoneshe wew ni kibalaka wa kund flan la KAKI.
  4. T

    Kwanini wanaume viwembe/malaya (players) hupendwa na wanawake?

    mi naona sabb tayar wanakua na experienc na wanawake hvyo hata styl zao za kupata nyap ni za hal ya juu sana, na kingne madem wanatabia za kuhadithian so nayo huwafanya wampapatikie hasa kama anaki2 kinachowavutia cha tofaut na wanaume wengne.
  5. T

    Had i know!!!!

    mwambie akae mbali na wew mkuu, ukimchekea mtu wa hvyo hakawii kumfuata hata huyo mke uliyenae na kuanza kuleta unafk wake.
  6. T

    Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

    Au jamaa ni Mkongoman huyo?....FM academia inaharib wat jaman duh!
  7. T

    Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

    Cha muhm mpotezee tu huyo rafik yako koz marafk wa aina hyo ni wa baya sana, wanafk na wana roho za kwanin, hawapend wenzao wapate. niliwah kuwa na rafk wa aina hyo na nikampotezea koz ya tabia zake za kishamba unajua kilichomtokea bdae?....alifanya tena mchezo kwa mshkaj wake mwingne jamaa...
  8. T

    Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

    Haujachelewa bdo sicy, muhim ni kumuacha na kuendlea na maisha yako hakufai huyo angekuwa wa maana angejutia kosa na hata kukuomba msamaha bt ukwel ni kwamba ukimfumania mpenz wako hakuna lingne zaid ya kuachana nae
Back
Top Bottom