Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!

Wengine sijui mnaandika tu ili mdonoe au? Amemsikiliza yeye na masikio yake sasa unataka afanyeje? Hii kitu inayomtokea utokea wengi.

Ndugu shukuru Mungu kakuambia mwanamke mwingine angeenda kuonja naye yukoje. Huyo hakuheshimu na atakuliza au anakuliza kwenye biashara kama ni cheki basi hakikisha mnaweka saini wote na etc

Pole inauma kama ulivyoambiwan vizuri usimwambie kitu mtego ndio njia, then subiri atasemaje.

Mengineyo msome na ufanye kwa jinsi mambo yananyokwenda, at times huwezi panga bila plan B kuingia mbeleni.
 
duuuu kweli wana noma.......hata mimi ilishawahi kunitokea......kilichofuata sasa.............usingizi nitamalizia baadae...
 
poleni sana kaka, kitu cha kwanza mwambie mpenzi wako kuwa siku atakayo mtongoza amrekodi maongezi yake yote, fanya uchunguzi wakutosha , kama ni kweli fanya mahesabu yote ya biashara yenu , gawana pesa na mwisho mweleze ukweli kuwa sababu ya kugawana biahara ni yeye kumtongoza mpenzi wako na weka ushahi wa video alizorekodiwa na urafiki ufe kwani huyo rafiki ni hatari sana anaweza kukuua ili amilki mke wako na biashara
 
Wengine sijui mnaandika tu ili mdonoe au? Amemsikiliza yeye na masikio yake sasa unataka afanyeje? Hii kitu inayomtokea utokea wengi.

Ndugu shukuru Mungu kakuambia mwanamke mwingine angeenda kuonja naye yukoje. Huyo hakuheshimu na atakuliza au anakuliza kwenye biashara kama ni cheki basi hakikisha mnaweka saini wote na etc

Pole inauma kama ulivyoambiwan vizuri usimwambie kitu mtego ndio njia, then subiri atasemaje.

Mengineyo msome na ufanye kwa jinsi mambo yananyokwenda, at times huwezi panga bila plan B kuingia mbeleni.

Ajifunze kujitegemea......sio kila jambo kuripoti unaweza vunja mahusiano ya watu.
Wanaume watu wa tamaa hata baba yake mzaz anaweza akamtongoza,je atakwenda kusema????.....hajampenda huyo!!!
 
...anapotongozwa na usiowafahamu huwa anakwambia?
 
kumbuka kua thats your partner and not your friend!!,partners always share interest(profit)
 
Ajifunze kujitegemea......sio kila jambo kuripoti unaweza vunja mahusiano ya watu.
Wanaume watu wa tamaa hata baba yake mzaz anaweza akamtongoza,je atakwenda kusema????.....hajampenda huyo!!!

basi na mimi leo naanza kukutongoza inbox-utunze siri usimwambie mchizi!!
 
chukua simu ya mke wako anza kuchate nae baaadae anza kumchana live kwenye sms na kumtukana live kwenye sms ili akome kabisa njia ni hiyo tu na temana naye kabisa
 
Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!

JF kuna magumegume balaa, we ni mwanamke kweli?

Hakuna wasiwasi hapo.....achunguze kwa umakini juu ya swala hlo ili achukue maamuz,huyo binti ni mtu mzima.Je aliowakubali alikuja kusema???ukiona hivyo hajampenda.......awe makini ktk mambo ya mapenzi!!

Sasa mpaka mtu amewekwa kwenye loudspeaker unataka uchunguzi gani? I doubt, nyie wengine ndo mnaona sawa tu kutembea na shemeji zenu.

Fuatilia ukipata chembe za ukwel bas mwambie ukweli huyo rafiki.
Hata ukitaka kumnasa ni rahis kupitia mwanamke ili isije onekana kasingjziwa!!!

Hivi umesoma vizuri alichokiandika? Au ni ule utaratibu wa kila thread lazima kuchangia hata kama hujui nini kinazungumziwa!

Nmeyasema mimi.........watu tunaona mbaliiiii!!!!

Mmmh

Ukute anataka biashara afanye yeye na bwana ake......sasa hyo ni sababu yakumgombanisha!!!!!
Kuna wimbo unaitwa "siku hizi hawalali"

Kwa mentality hizi hamwezi kumiliki ndoa

Ajifunze kujitegemea......sio kila jambo kuripoti unaweza vunja mahusiano ya watu.
Wanaume watu wa tamaa hata baba yake mzaz anaweza akamtongoza,je atakwenda kusema????.....hajampenda huyo!!!

Hivi mtu umemkatalia mpaka basi, ukimwambia ntasema hasikii na mnaonana mara kwa mara kwa sababu ni shemeji yako unahitaji hatua ipi zaidi ya kumwambia? Watu wa hivi hawachelewi kuja na tactics za tukose wote, akikutongoza ukachomoa atahamia kusema yeye ndo anatongozwa, so mwanaume akiambiwa na rafiki yake kwamba demu wake ni muhuni, fasta anamtema.

lakini rafiki yangu hakuelewa na mpenzi wangu akanambia na kuna siku alipiga simu mpenzi wangu akamuweka loudspeaker nikawa namsikia akimuambia mpenzi wangu mambo mengi ya uongo kuhusu mimi ikiwepo kuwa nina mahusiano na wapenzi wengine wengi na ni kitu sio cha kweli

Jaribu kuufanyia kazi huu ushauri!

Tengana naye kibiashara haraka iwezekanavyo kabla hamjafika mbali, watu wa namna hii wana hulka ya kuona vya wenzio ndo vizuri, au wenzio hawastahili hivyo walivyonavyo. Itafikia sehemu ukinunua kitu chochote kizuri hata kama ni kwa fedha ya nje ya biashara ataona wivu na kusema umeiba kwenye biashara.

Usimwambie habari za yeye kumtongoza mpenzi wako, we achana naye haraka sana na urafiki upungue kabisa. Kama mtu anadiriki kukusemea mbaya kwa mpenzi wako tena uongo, ujue atakuchomea kwa polisi ili ufungwe yeye abaki na biashara.

Ukisha achana naye mkataze mpenzi wako kufanya mawasiliano yoyote na huyo mtu, siku ukiona hilo limekiukwa ujue na huyo ni wa kupiga chini.

Marafiki wanafiki ni wabaya sana kufanya nao biashara.
 
Wewe ndio umeongea point ya maana sana....
Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!
 
hapo BongeMwepesi angalia sana ushauri anaotoa dada miss strong mi naona unafaa...unaweza gombana na kila mtu kisa mapenzi...pia jiulize ina maana wanaume wote wanaomtongozaga huko ukiachilia mbali huyo rafiki yako, huwa anakwambia au atakuwa anakuwambia? fuatilia kwanza ndg yangu ujue ukweli ndio uje kutafute suluhu. Pole sana kwa shida hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Kanigini maandiko yanasema ishi na mwanamke kwa akili......yaliyaona haya.
Sio kila jambo unaloambiwa ni kukurupuka
 
Last edited by a moderator:
Huwa nakerwa sana na hii kitu unakuwa na mpenzi masikio yake yote kayasimamisha kusikiliza kelele za wapitaji wakati tumekutana waili tukaelewana wenyewe baada ya kuanza safari mtu anaaza eti nimesikia, umesikia nini??
baada ya kusikia unafikiria nini?? bora kuwa mwenyewe
 
ni mangapi yanamtokea hasemi? Kama aliweza mkatalia sku za mwanzo kinachomshnda sahv nin hadi akwambie? Na kama sio yeye anamlealea huko kupga simu angeanzia wapi? Pengne ashatinduliwa anajibaraguza kwako sahv
 
Cha muhm mpotezee tu huyo rafik yako koz marafk wa aina hyo ni wa baya sana, wanafk na wana roho za kwanin, hawapend wenzao wapate. niliwah kuwa na rafk wa aina hyo na nikampotezea koz ya tabia zake za kishamba unajua kilichomtokea bdae?....alifanya tena mchezo kwa mshkaj wake mwingne jamaa kugundua akamualika kwenye pombe akamlewesha kumbe kaandaa watu wakampasulia mayai na kumuacha uch wa nyama mtaan kwao ikawa bonge la aib. so nakushaur mkuu achana na huyo rafk co mtu mzur.
 
Akupe na cm yake pia ujue anaepiga nani,sms usome wewe zikiingia,usikasirike bila sababu yamsingi hata kama umemsikia kasema usije kuonekana mpuuzi kwa ajili ya mwanamke ambaye huli peke yako jamvini.......
 
Back
Top Bottom