Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Pole sana beste, endelea kuvuta subira.
Habari wana MMU.Kwanza kabisa nafarijika sana kuwa mwanajukwaa hili...na huwa napata mengi sana kwa njia ya usomaji wa threads na comments...kiufupi jamii forums unifanya nismile most of the tym.
Tatizo langu kubwa linalonisibu ni upweke jaman.I had a bf lakin tukahitilafiana na kuachana kwa muda kama wa miez kumi sasa.Tatizo kubwa nnaloface...watu huwa hawaamini kuwa sina
mtu especially wakaka,mm ni mschana ninayejipenda kidogo...huwa najiweka smart kawaida na huwa najitahd sana niszdshe urembo ili tu niwe kawaida lakin imekuwa tabu.
Imefikia mahali naangalia umri nao unasogea,upweke nao unazd...marafik nao wanaanza kubanwa na majukum ya familia zao(kwa walioolewa) mpaka nafikia hatua ya kutaman kurudiana na yule kijana tulieachana!sasa najiuliza ntaanzaje?na yy ad leo c atakua na mtu?atanionaje?yaan...ata cjui nifanyeje...mapenz kwake yamebak kidogo sana....wakt mwngn najipa moyo labda nisubir tu atakuja...lakin najiuliza atakuja lin?na familia yangu ni ya kidikteta ata kutokatoka c sana...labda mchana,ebu nishaurin wana MMU

Pole mwaya,hakuna kitu kigumu kama kuachana maana mi mwenyewe ninapita njia hio.japokuwa mi mwanaume nimeachwa na kuachwa bila ya ridhaa lazima kwa vyovyote utakuwa kwenye wakati mgumu.utashauriwa vumilia,sijui hakuwa wako, sijui muombe Mungu,sijui tulia lakini asikudanganye mtu upweke unauma ingelikuwa ni ugonjwa ungemeza dawa ya kutuliza hata maumivu.lakin ukifiri nimeachwa,nitapata wapi mwingine,na atakuwa kama yule nilie mzoea,na huyo mtu atakuwa nanisubiria mimi? Hapo ndipo tumain linabaki kwa Mungu maana atakaevumili kila hali itakayo mjia bila ya kuchoka ndie mshindi.vumilia, jipe moyo kumbuka maji yakimwagika hayazoleki.piga magoti hakuna linaloshindikana kwa Mungu kwa imani.
unaposema "mapenzi kwake yamebaki kidogo sana" unanitatanisha ni mapenzi ya wewe-kwake ama ya kwake-kwako? Kama ni wewe-kwake ni bora ufanye mambo mengne. Kama ni kwake-kwako nashndwa kujua umejuaje wakat kuwasiliana nae bado. Kikubwa ktk hili ni kuangalia moyo wako,na isjekuwa unamrudia kufunika pengo la upweke wako.
ina maana katika siku zote unazotoka mchana hakuna hata wa kukupiga mkono njiani? Tulia atakuja tu mtu usiwe na haraka usije chagua mutu ambaye sio sahihi,na kwa huyo wa zamani huna haja ya kurudi maadam umesema mwenyewe mapenzi yamebaki bkidogo,kila la kheri dada.
Pole sanaa na inaonekana unampenda sana huyo mtu, Kwa nionavyo mim mwanaume aliyekuacha halaf akaa miez hata miwil bila kukutafuta huyo hakupendi wala hata hakumbuki kam kuna mtu kama wew, huyo tayar kashampata mtu wanafaidi maisha yao, Wew achilia moyo fanya mambo yako ya msingi na jaribu kumsahau kabisa coz sio wako tena., Watu watakutia moyo umtafute ila hatA ukimpata na akajua unajirudisha hawez kukataa lazma atakuduuuu sana then akupotezee tena, Miezi kumi ni mingi sana kwa mwanaume kukaa bila mschana.
Me nakushauri achana nae kabisaa, Utapata tu wa kukutoa upweke.
Ahsante mrembo wangu kwa kunifungua macho...yaan kwa kwel ni mda umepita bila mawasiliano sasa...mh..
Pole sanaa na inaonekana unampenda sana huyo mtu, Kwa nionavyo mim mwanaume aliyekuacha halaf akaa miez hata miwil bila kukutafuta huyo hakupendi wala hata hakumbuki kam kuna mtu kama wew, huyo tayar kashampata mtu wanafaidi maisha yao, Wew achilia moyo fanya mambo yako ya msingi na jaribu kumsahau kabisa coz sio wako tena., Watu watakutia moyo umtafute ila hatA ukimpata na akajua unajirudisha hawez kukataa lazma atakuduuuu sana then akupotezee tena, Miezi kumi ni mingi sana kwa mwanaume kukaa bila mschana.
Me nakushauri achana nae kabisaa, Utapata tu wa kukutoa upweke.
Well said mdau, kwanza ameshasema kua mapenzi yake kwa huyo kijana yamebaki kidogo, kwa nini urudiane na mtu wakati mapenzi yapo kidogo? Na kwa nini urudiane na mtu sababu ya upweke? Vumilia tu utapata mtu atakayekupenda kwa dhati huyo inaonekana hana mapenzi na ww tena ndo mana hajakutafuta muda wote huo