Dua nipo ila tu ilibidi nipige shift tatu si unajua tena mambo yanazidi kuwa magumu bongo. Nimehamia kwenye kakibanda kangu ambako kana sebule na chumba huko Ukonga madafu ila ndio hivyo tena nadhani sitaweza kuendelea na utaratibu wakuongezea vyumba vingine maana Mheshimiwa sana waziri mkuu...
Ushauri wa bure: kuepuka maneno kama kifo cha ..., kumkoma ... giladi, siku ya kufa ... ni afadhali ukaiondoa hiyo Nyani ukaweka Njabu kama ilivyokuwa mwanzo. Au ndio Nyani ni son na Njabu ndio pops wake?
Hiyo siyo video clip wewe unajuaje kuwa anateseka dakika za mwisho? Halafu sema kuwa una sababu nyingine usemaji wa familia yake nani kakupa? Ingekuwa familia yake wamefika mahala pa tukio mapema unataka kutuambia wangejificha wasione kazi ya kunasua miili ya marehemu hao?
Mtiifu unataka...
Kwenye mada ile ya Jeuri ya Mkapa uliandika haya:
Unawambia watu wamekalia majungu wakati wewe ndio inaonekana ndiye hasa mtaalamu wa kuyatengeneza. Kama ulivyoshauri kwenye ile thread nyingine; kama una suala la msingi la kulalamika nenda mahakamani au kwenye vyombo vingine stahili vinginevyo...
Kigezo kilichotumika hapa ni kuwa "taja figure yeyote tu ili kuonyesha kuwa mishahara imepanda kwani hakuna atakayefuatilia kuona kama hili linatekelezeka." Hii mishahara hailipiki kwa hao waliotajwa na hakuna atakayedai maana ukipiga kelele unaaambiwa acha kazi na wewe utaachaje kazi wakati...
Si ndiye huyu kule Bungeni wakati wametoka Burkina Faso alitamba kwamba ni matunda ya sera za CCM ndio maana inafanya vizuri? Kumbe ikishinda ni matunda ya Uongozi wake ila ikishindwa yeye hahusiki!!!!
Kuna thread moja Mwafrika wa Kike alikuuliza kuhusu hii tabia yako ya kusema sisi hivi, sisi vile. Mbona hatuoni hao wengine wakisema? Kwenye falsafa hiyo wanaita fallacy huwezi kusemea watu ambao hawajasema ni sawa na kusema kila mtu anajua hivyo. wewe ndiye unayeamini hivyo hivyo jisemee...
Jamaa wewe ukipenda hata chongo unaita kengeza. Kama ndivyo hivyo hebu tuambie basi ni nani ameiba Tanzania. Mwalimu Kichuguu kakujibu vizuri sana hapo juu.
Mkataba anayojivunia kusaini ni uozo mtupu, kila mtu hata Mkono yeye mwenyewe anajua mapungufu yake. Kama kweli ni mwanasheria aliyebobea...
Hakuna kingine zaidi yakuwa hili jambo haliwaathiri wao na familia zao. Ingekuwa japo watoto wao wanahitaji dual citizenship bila shaka siku nyiiingi lingekuwa limeshatungiwa sheria.
Wao na watoto wao wanaweza kwenda, kuishi na kuwekeza popote pale kwenye sayari hii ya muumba. Maslahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.